검색어: nilipata (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

nilipata

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

nilipata ujumbe wako

영어

i have received the message

마지막 업데이트: 2022-09-09
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini nilipopiga simu,nilipata mshangao mzuri.

영어

but when i did call, i was pleasantly surprised.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nilijitoa kwenye facebook hivi nilishasema kwamba nilipata shahada?

영어

i quit facebook. did i mention that i finally graduated?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

miaka kumi iliyopita nilipata kuhudhuria si zaidi ya mechi tatu za simba na yanga.

영어

in the last ten years i attended no more than three dar derbies.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

sababu ya kushindwa kufanya mitihani hiyo ni kwasababu nilipata dharura ya msiba wa baba mkubwa nyamboge mkoani geita

영어

마지막 업데이트: 2024-04-17
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

c/sababu ya kushindwa kufanya mitihani hiyo nilipata dharura ya msiba wa baba mkubwa nyamboge mkoani geita

영어

c/because of the failure to perform these tests i had the emergency of the great-grandfather nyamboge disaster in the region of geita

마지막 업데이트: 2024-04-17
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nilipata wazo la kutengeneza zana tumizi hii baada ya kutumia masaa mengi nikitafuta zana ambayo ingenisaidia kufanya kazi zangu bila kujaa matangazo mengi.

영어

i got the idea of the app after spending long hours of looking for a fast lightweight flashlight app that did not contain ads .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baada ya kumaliza chuo nilipata internship ya kwenda israel na kuanza  kufanya kazi kwa vitendo kama kuzalisha mazao mbalimbali na nimepata ujuzi wakutosha

영어

i completed my college education in 2022 at the undergraduate level

마지막 업데이트: 2023-12-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

siku nane baadae na baada ya kukosolewa sana na jumuiya ya reddit ya simu za mfumo wa wondows, nilipata habari njema za mipakuo ipatayo 300 na wengine waliipa alama za juu kwamba inafaa.

영어

eight days later and with the criticism (sic) from the reddit window phone community, i reached 300 downloads and a 5 star rating.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mambo hayo ndiyo niliyoyafanya huko yerusalemu. mimi binafsi, nikiwa nimepewa mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu, nilipata kuwatia gerezani wengi wa watu wa mungu. nao walipohukumiwa kuuawa, nilipiga kura ya kukubali.

영어

which thing i also did in jerusalem: and many of the saints did i shut up in prison, having received authority from the chief priests; and when they were put to death, i gave my voice against them.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

shikamoo baba. samahani sana kwa kutokupokea sim na kuto kukulipa pesa kama nilivyo ahidi. nilipata matatizo ilesiku niliyo kuambia nakuletea hela na nika safiri.naomba univumilie hadi oct mwanzoni..nashindwa kupokea simu nikuambie nini kilinipata kwasababu nakuwa nakuambia mambo ambayo hustaili kuambiwa. samahani sana kwa usumbufu . najuwa nimekuwa mpangaji msumbufu sana kwenye pesa.. samahani sana kwa usumbufu lakini ilijambo liemetokea nashindwa hata kuelezea.. naomba unielewetu baba yangu.

영어

shikamoo father. i'm so sorry for not receiving a sim and not giving you a nudge. i got in trouble i didn't eat what i told you i bring you money.i ask you to bear with me till oct at the beginning.. i can't get a call to tell you what but i got in trouble and traveled. i'm so sorry for the inconvenience . i know i've been a very troublesome tenant on money.. i'm so sorry for the inconvenience but it happened i can't even explain.. may you understand my father.

마지막 업데이트: 2022-09-21
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,747,671,684 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인