검색어: nimeanza (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

nimeanza kukuzoea

영어

najua ulivyo

마지막 업데이트: 2023-11-22
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

leo nimeanza na kazi nyingi

영어

마지막 업데이트: 2023-06-21
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

leo nimeanza kuja kazini baada ya afya kuimariks

영어

won't be able to come to work

마지막 업데이트: 2023-11-14
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sawa kaka nimekuelew mimi nakunywa kistarabu nimeanza kunywa 2018 lakini umewahi kuniona nimelewa kaka yako

영어

i've just been drinkin

마지막 업데이트: 2024-06-29
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

leo siko sawa naumwa na ndio nimeanza kazi bado kupewa mshahara naomba unisaidie hela kwa niweze kwenda hospitali

영어

leo siko sawa naumwa na ndio nimeanza kazi bado kupewa mshahara naomba unisaidie hela to niweze kwenda hospital

마지막 업데이트: 2024-06-12
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini siku za karibuni nimeanza kufuatilia maendeleo ya timu yangu ya kale na tena jumapili iliyopita baada ya kukosekana kwa muda mrefu, niliamua kwenda kutazama mechi hii ya watani wa jadi.

영어

but recently i started monitoring my old team's progress again and last sunday, after a long hiatus, i decided to go and watch the latest meeting between the old arch-rivals.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

binafsi nimeanza kuangalia mapambano hayo huku nimezima sauti –mchanganyiko wa timu ya utangazaji wa espn na vuvuzela vina uwezo wa kutumika kama sindano m’badala ya sumu au kitu kama hicho.

영어

i’ve personally begun watching the games on mute - what with the combination of espn’s commentary team and the vuvuzela capable of being substituted for lethal injection and all.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

radwa el-shami alihoji sababu zilizo nyuma ya idadi kubwa ya wagombea wanaoutaka urais nchini misri: idadi inaongezeka na nimeanza kujiuliza kwa makini dhamira na nia za kila mtu anayetaka kupanda kwenye kiti cha enzi cha misri.

영어

radwa el-shami questioned the reason behind the huge number of candidates running for presidency in egypt: the number is increasing and i am seriously starting to question the intentions and motives of every person willing to ascend the throne of egypt.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nani anaweza kusema kasahau zile habari motomoto na za kibinafsi zilizokuwa kwenye ukurasa wa facebook wa mheshimiwa?nyingi zilikuwa ni kama ile iliyotufahamisha kuhusu kila anakokwenda, iliyowekwa april 4 mwaka huu iliyosomeka, “habari za asubuhi marafiki, nimeanza safari ya kurudi baada ya mkutano wenye mafanikio wa ushirikiano kati ya umoja wa ulaya na afrika uliofanyika brussels, ubeligiji.

영어

and who can forget those regular warm and very person+able updates on his excellency's facebook page? most sounded like the one, which kept us updated on his movements, posted on the 4th april this year which read, "good morning dear friends, i have now started off my journey back home after a successful european union - africa summit in brussels, belgium.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
8,897,267,186 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인