검색어: nini mbaya na swahii (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

nini mbaya na swahii

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

nini mbaya na wewe

영어

you are so beautiful

마지막 업데이트: 2023-02-07
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nini mbaya

영어

what's wrong my dear

마지막 업데이트: 2021-11-01
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni siku mbaya na ya masikitiko :( #et409

영어

it's a very sad and horrible day :( #et409

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni wakati mbaya na mzuri kwa wakati mmoja.

영어

a sad and happy moment all in one.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

… kupiga marufuku filamu kunaanzisha mfano mbaya; na kunaweza kuwa hatari.

영어

... banning films sets the wrong precedent; in fact it can be dangerous.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika mapokeo ya wayahudi joka ni mfano wa kila enzi mbaya na adui wa mungu na wa taifa lake

영어

in jewish tradition the dragon is a symbol of every evil age and enemy of god and of his nation

마지막 업데이트: 2021-02-24
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

al-bilasi alisimulia kuhusu hali ya mbaya na unyama katika selo:.. ".

영어

al-bilasi talked about the inhumane conditions in the cells: "it was small and overcrowded.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

utawafikia mgeuko mbaya, na mwenyezi mungu awakasirikie, na awalaani, na awaandalie jahannamu. na hayo ni marudio maovu kabisa.

영어

an evil turn (of fortune) will befall them. the wrath of allah is on them, and he has cursed them and prepared for them gehenna (hell), an evil arrival!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ingawa hatua hizi zimekuwa zikiharibu uchumi kwa njia mbaya na sekta zingine za nchi, idadi ya wagonjwa wapya inapungua na kuashiria kupungua kwa janga hili.

영어

although these actions have been dramatically damaging the economy and other sectors of the country, the number of new patients is declining, indicating the slowdown of the epidemic.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

"ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake yatakuwa mema; ufanyeni kuwa mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. mti hujulikana kwa matunda yake.

영어

either make the tree good, and his fruit good; or else make the tree corrupt, and his fruit corrupt: for the tree is known by his fruit.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kwa upande wake, serikali ya angola, imeelezea kwamba shambulizi hilo limetokea "kwa bahati mbaya" na kwamba inazihakikishia timu nyingine usalama.

영어

the angolan government, for its part, has called the attack an "isolated incident" and has guaranteed the security of the other teams.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

#kholoudalkhamees (kwa sababu wewe ni kituko) unataka sana, huba mbaya na #obl sasa hivi nimepata mtizamo mpya kabisa wa wimgo wa lady gaga

영어

#kholoudalkhamees ('cause ur a freak, baby) u want it bad, bad romance with #obl i got a whole new perspective on lady gaga song

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kaka yang mywearther mimi naitwa dickson dismas nipo tanzania naomba unisaidie chochote nipate mtaji nifanye biashara kwasasa nafanya tu vibarua ila hali yangu ya maisha ni mbaya na wazazi wangu hawana chochote wananitegemea mimi nionee huruma mungu ataendelea kukubariki kaka angu. namba yang ya bank ni 0152566778700 crdb bank jina dickson dismas slaa.

영어

my brother-in-law, my name is dickson dismas, i am in tanzania. the bank number is 0152566778700 crdb bank name dickson dismas slaa.

마지막 업데이트: 2021-09-26
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata kama ilikuwa imehakikishwa kwamba watu wanaufurahia –kitu ambacho sikiamini sana –bado ubinafsi ungeendelea kuwa mbaya; na ingeendelea kuwa wajibu wetu kuumaliza na kuwaambia watu kwamba kile walichojifunza kukifurahia ni kibaya (…)

영어

even if it were proved that the people really enjoyed it – which i very much doubt- it would still be a wrong; and it would still be our duty to put a stop to it and to tell the people that what they had learned to enjoy was wrong. (…)

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

sata hakukanyaga katika eneo la mazishi kufuatia vitisho vya kumpiga vilivyotolewa na makada wa mmd lakini bila kutarajiwa alitokea katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha mulungushi ambapo mwili wa chiluba ulilazwa na kutoa heshima zake za mwisho, huku akiutazama pamoja na raia wa kawaida, na kuwachukiza maafisa wa usalama ambao hawakujua cha kufanya na mtu huyu ambaye wakati huo alikuwa ni kiongozi wa upinzani ambaye ni wazi alikuwa katika uhusiano mbaya na rais banda.

영어

sata never set foot at the funeral venue following threats to beat him up by mmd cadres but he unexpectedly turned up at the mulungushi international conference centre where chiluba’s body lay in state and paid his last respects, viewing it along ordinary citizens, vexing even security officials who did not know what to do with the then opposition leader who was clearly in bad books with president banda.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho ndani yenu ambacho chahusika na mambo ya kidunia: uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu).

영어

mortify therefore your members which are upon the earth; fornication, uncleanness, inordinate affection, evil concupiscence, and covetousness, which is idolatry:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ninaandika kukujulisha kuhusu kujiuzulu kwangu kutoka [jina la nafasi] katika [jina la kampuni], kuanzia [tarehe ya kujiuzulu]. nimekuwa nikifanya kazi na mwenzangu kuwasaidia kupambana na ugonjwa sugu kwa muda sasa. hivi karibuni, ugonjwa wao umeanza kuwa mbaya na sitaweza tena kusawazisha majukumu yangu yote ya taaluma na majukumu yangu kama mshirika. kwa hivyo ninajiuzulu kuchukua majukumu ya utunzaji wa wakati wote. ninashukuru sana kwa msaada mkubwa sana

영어

i am writing to inform you of my resignation from [position name] at [company name], effective [resignation date]. i have been working with my partner to help them battle a chronic illness for some time now. recently, their illness has begun to worsen and i will no longer be able to balance both my professional responsibilities and my duties as a partner. i am therefore resigning to take up full time caregiver responsibilities. i’m especially thankful for the tremendous amount of support yo

마지막 업데이트: 2021-10-11
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,778,115,906 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인