검색어: nyanja (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

nyanja

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

majani ya kunde on nyanja

영어

legume leaves on spheres

마지막 업데이트: 2020-04-08
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

elimu ni nyanja ambayo inahitaji msaada barani, hasa huko vijijini.

영어

education is an area with much need of intervention on the continent, especially rural africa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

washindi watachaguliwa na jopo la wataalamu katika nyanja ya uhuru wa kujieleza.

영어

winners will be selected by a panel of experts in the field of freedom of expression.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini pia tunashuhudia madhara mabaya ya maendeleo ya haraka kwenye nyanja za viwanda katika visiwa vyetu.

영어

but we are also seeing the damaging effects of aggressive industrialisation on our islands.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

global voices japan ilimuuliza kuhusu changamoto za minna no honyaku , matatizo na nyanja mpya ya kutafsiri kwa kujitolea.

영어

global voices japan asked him about the challenge of minna no honyaku , the difficulties and the new frontiers of volunteer translation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni nini kinachowasukuma waigizaji wengi wa bollywood kutoka kwenye nyanja walizozoea na kutoa michango yao kwenye kampeni za uchaguzi huu wa india?

영어

what could be the driving force that has prompted so many bollywood actors to step out of their comfort zone and do their bit for this indian election campaign?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mara baada, kulikuwa na sauti za upinzani kutoka nyanja tofauti nchini ecuador, ambazo zinaandaa maandamano na upinzani dhidi ya hatua hiyo.

영어

soon after, there were voices of protest from different sectors in ecuador, which are also planning marches and protests against the measure.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na aliporudi nchini zambia akiwa na umri kwenye miaka ya ishirini, alitafsiri ujuzi ujuzi alioupata alipokuwa akifanya kazi kwenye nyanja mkonge nchini tanzania kwa manufaa.

영어

when he came back to zambia in his twenties, he translated the knowledge he acquired while working in the tanzanian sisal industry into good use.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mshirika wa karibu wa nepal, india nayo pia inatarajia kuendeleza vyanzo vya nishati mbadala ili kukabiliana na mahitaji yanayoongezeka katika majimbo yake yanayokua kwa haraka katika nyanja ya viwanda.

영어

nepal's closest ally india is also looking forward to develop alternative energy sources to deal with the growing demand in its rapidly industrialized states.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

bloga na mpiga picha kamran ashtray, ambaye pia ni mkurugenzi wa mawasiliano na maendeleo anaeleza changamoto, matumaini, na mafanikio ya nyanja ya uanahabari wa kiraia wa irani.

영어

kamran ashtary, blogger, photographer and zamnaeh's director of communication & development shares zamaneh's challenges, hopes, achievements and iranian citizen media.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kuanzia tarehe 29, augusti hadi septemba 12, 2012, wanamichezo 4,200 kutoka nchi 166 watashiriki katika michezo ya 14 ya paralympiki jijini london itakayohusisha nyanja ishirini za kimichezo.

영어

from august 29 until september 12, 2012, 4,200 athletes from 166 countries will take part in the 14th edition of the paralympic games in london and will compete in twenty disciplines.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kutoka katika kikundi cha wanawake kinachodai kuwa kimeifanya mali kuwa nguvu katika nyanja ya kutia rangi nguo, mpaka kwa wasanii ambao wameamua kuufanya mtindo wa bamako au mtindo wa nguo zinazotiwa rangi kwa matope kuwa ni chapa yao, mpaka kwenye nyanja ya utalii ambayo imekua kwa njia ya hii sanaa.

영어

from a women's group which claim to have placed mali as a power in the cloth dying industry, to artists who have decided to make bogolanfini or mud dyed cloths their medium, to the touristic industry that has grown around this art.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

gazeti la italia ya la stampa ilinukuu taarifa na mtu asiyetambulika "katika nyanja za juu ya kisiasa" kuwa asilimia 80 ya msaada wa urusi "haikuwa ya kufaa au kwa manufaa chache kwa italia".

영어

italy's la stampa newspaper cited an anonymous "high-level political source" that 80 percent of russia's aid was "useless or of little use to italy".

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,747,394,061 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인