검색어: onyesha tovuti za rununu (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

onyesha tovuti za rununu

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

baadhi ya picha hizo zinazagaa katika tovuti za kushirikiana picha.

영어

a number of these photographs are also making the rounds on photo-sharing websites.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tovuti za habari zinazofungwa si tovuti za kweli na 'hazifungwi".

영어

the new website bans aren't really websites being 'blocked'.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

mtumiaji wa habrahabr, rubyrabbit alitengeneza orodha nzima ya tovuti za habari zilizozimika.

영어

habrahabr user rubyrabbit made a complete log of the major news website blackouts.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tarakimu hizo hazitafutiki kwenye tovuti za kutafutia taarifa na haziwezi kuonekana kwenye mitandao ya kijamii.

영어

they are all unsearchable on mainland chinese search engines and cannot appear in public timelines on social media.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati vuguvugu la mapinduzi likiendelea uarabuni matukio kadhaa ya vijana wenye hasirayamezuka katika tovuti za senegal.

영어

as uprisings continue across the arab world, several incidences of angry young people have sprung up on senegalese websites.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya tovuti za habari zinaogopa kuvipa sauti vyombo vya habari vya kiraia kwa sababu vinavichukulia kuwa ni vyanzo vya habari visivyoaminika.

영어

some news sites are afraid to give more voices to citizen media because they consider them as unreliable sources of information.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kadiri tovuti za vyombo huru vya habari na vile vya kiraia vinavyozidi kuchapisha taarifa zaidi nchini hapa, gopal krishnan alitabiri:

영어

as independent news portals and citizen media contents proliferate in the country, gopal krishnan predicted:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nafasi ya wanawake katika upinzani dhidi ya serikali unaoendelea nchini misri imenasa macho ya wanablogu na raia wanaoeneza habari kwenye tovuti za mitandao ya kijamii.

영어

women’s roles in the ongoing egyptian anti-government uprising have captured the attention of bloggers and citizens spreading information on social networking sites.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo watu wengi waliamua kuondoka kwenye tovuti kabla ya kubonyeza chochote, jambo ambalo limepelekea maoni hasi kwenye tovuti za blogu fupi fupi za kipolish kama vile blip.

영어

but many people decided to leave the website before making any click, which led to negative comments on polish microblogging websites such as blip.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

huku shughuli za kila siku zikiendelea kama kawaida kwenye miji ya malawi, wanablogu na raia wengine wa mtandaoni kwenye tovuti za habari za kijamii wameopokea habari hizo na mitazamo mchanganyiko.

영어

while business went on as usual in malawi's towns, bloggers and other netizens in social media sites have received the news with mixed feelings.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika moja ya tovuti za uandishi wa kiraia suala la kumtunuku ukazi wa kudumu kocha ambaye wakati fulani aliitosa zambia na kwenda zake angola, kunaonekana kuwa na mrengo wa kisiasa zaidi.

영어

on one citizen media website the issue of granting permanent residency to a coach who once deserted zambia for neighbouring angola, has assumed political overtones.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matumizi ya data ya eneo kutoka simu za rununu na serikali kwa matumizi haya imechochea wasiwasi kuhusu faragha, na shirika la amnesty international na zaidi ya mashirika 100 mengine kutoa tangazo wakitaka kuwekwa kwa mipaka kwa ufuatiliaji kama huu.

영어

the use of location data from mobile phones by governments for this purpose has prompted privacy concerns, with amnesty international and over 100 other organizations issuing a statement calling for limits on this kind of surveillance.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kadri miezi ilivyopita, wasiwasi nao umeongezeka zaidi kiasi kwamba wanawake wengi wameungana kwenye tovuti za kijamii ili kuweka maoni yao waziwazi. wanafanya hivyo ili kubadilishana taarifa pamoja na kupanga hatua gani za kisheria wachukue.

영어

as the months passed, the concern has been growing, so much so that many woman have come together on social media websites to air their opinions and share information as well as to organize legal action.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@simonallison: ni ajabu lakini ndio ukweli wenyewe: nilikuwa mwandishi pekee wa magazeti na tovuti za habari za afrika kusini kuandika habari za uchaguzi wa lesotho.

영어

@simonallison: strange but true: i was the only journalist from any sa print or online pub. covering lesotho elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

programu tofauti ya simu za rununu zimetekelezwa au kupendekezwa kwa matumizi ya hiari, na kufikia aprili 7, 2020, zaidi ya vikundi kumi na mbili ya wataalam walikuwa wanaunda suluhisho yanayolinda faragha, kama vile kutumia bluetooth kutuma umbali wa mtumizi na simu za rununu zingine.

영어

various mobile apps have been implemented or proposed for voluntary use, and as of april 7, 2020, over a dozen expert groups were working on privacy-friendly solutions, such as using bluetooth to log a user's proximity to other cellphones.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

newsdiffs (@newsdiffs), ambaye hutazama matoleo mbalimbali ya makala zinazowekwa zaidi kwenye tovuti za habari, alichapisha ulinganifu kuonyesha namna habari ya jarida la new york times ilivyohaririwa pale ilipofahamika kwamba mubarak alikuwa bado hai..

영어

newsdiffs (@newsdiffs), which watches different versions of highly-placed articles on online news sites, published a comparison showing how new york times' story was updated when it turned out he was still alive.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwaka 2006, mtengeneza program za kompyuta aitwaye goran slakeski alianzisha tovuti za slikicki.com ambazo zimekuwa kitovu cha jamii ya watu wanaopenda kubadilishana 'stika', akipanua wigo mara chache kwenda kwenye matukio halisi mtaani kama hili lililofanyika.

영어

in 2006, local programmer goran slakeski founded the website slikicki.com which has been the center of an online sticker exchange community, extending its reach with occasional offline events such as this one.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama ilivyo upande wa tanzania bara, ilani za uchaguzi, picha na video za mikutano ya kampeni nazo zimetundikwa kwenye tovuti za mgombea urais wa zanzibar wa chama cha ccm dkt. ali mohamed shein na vilevile zile za mpinzani wake mkubwa, maalim seif sharif hamadwa chama cha wananchi (cuf).

영어

similar to tanzania mainland, election manifestos, pictures and videos of the campaign rallies are on display on the websites of the zanzibar’s ccm presidential candidate dr ali mohamed shein as well as on his main opposition contender maalim seif sharif hamad from the civic united front (cuf).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,745,856,131 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인