전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
samaki wa una
the fish market has
마지막 업데이트: 2023-02-22
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
samaki wa changu
samaki changu
마지막 업데이트: 2021-05-09
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
majina ya samaki wa baharini
longfin mako
마지막 업데이트: 2015-11-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wakampa kipande cha samaki wa kuokwa.
and they gave him a piece of a broiled fish, and of an honeycomb.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
majina ya samaki wa baharini kwa kingereza
nduaro
마지막 업데이트: 2024-05-07
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
samaki wa baharini mwenye sura ya binadamu uitwa?
a human-looking sea fish called?
마지막 업데이트: 2020-01-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
"tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.
again, the kingdom of heaven is like unto a net, that was cast into the sea, and gathered of every kind:
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
wale wanamaji waliuvuta mtumbwi ndani, kisha wakaizungushia meli kamba na kuifunga kwa nguvu. waliogopa kwamba wangeweza kukwama kwenye ufuko wa bahari, pwani ya libya. kwa hiyo walishusha matanga na kuiacha meli ikokotwe na upepo.
which when they had taken up, they used helps, undergirding the ship; and, fearing lest they should fall into the quicksands, strake sail, and so were driven.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
tuna uhakika kwamba tunajua welekeo wa kifaa cha taarifa za ndege hiyo (black box) kwa umbali wa kilometa kadhaa, lakini uhakika wa mahali kilipo kifaa hicho si sawa na kuokoa mabaki ya ndege hiyo yaliyoko takribani kilometa nne na nusu chini cha usawa wa bahari.
we are confident that we know the position of the black box flight recorder to within some kilometres, but confidence in the approximate position of the black box is not the same as recovering wreckage from almost four-and-a-half kilometres beneath the sea.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
na vidole vyake laini, alichukua samaki wa moto mdogo kwa kumkamata mkiani, akamtosa kwenye bakuli la mchuzi, akamsogeza karibu na midomo yake, akapuliza ili ampoze halafu akammeza wote, kichwa, mifupa pamoja na mkia kama vile mtaalamu wa chakula wa kweli.
with delicate fingers, she picked a small hot fish by the tail, dipped it slightly in a bowl of sauce, brought it close to her lips, blew on it to cool it down then swallowed it all, head, bones and tail like a true gourmet.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mwanablogu mmisri, zeinobia, amesambaza onyesho hili la picha kutoka hala'ib, bandari na mji katika mwambao wa bahari ya shamu, kwenye pembetatu ya hala'ib, karibu na mpaka wa sudan:
egyptian blogger zeinobia shares this slideshow of photographs from hala'ib, a red sea port and town, located in the hala'ib triangle, close to the sudanese border:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인: