검색어: shabaha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

shabaha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

jina lingine la shabaha

영어

another target name

마지막 업데이트: 2020-03-19
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

shabaha zetu kimsingi ni:

영어

our aims will be primarily

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

"shabaha yangu si kupata sifa kutoka kwa watu.

영어

i receive not honour from men.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

amekuwa shabaha rahisi mno kiasi kwamba watu wengi wanajipanga kumtungua.

영어

he has become such an easy target that an increasing number of people are baying to take a hit at him.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

waandishi wa habari na wazee walikuwa shabaha ya maji ya kuwasha ya polisi:

영어

journalists and the elderly became the target of the police's pepper spray:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nami nikafa. hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo.

영어

and the commandment, which was ordained to life, i found to be unto death.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na imani ya kweli.

영어

now the end of the commandment is charity out of a pure heart, and of a good conscience, and of faith unfeigned:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tishio la usalama linatajwa kama sababu: mtoto ndani ya gereza ni dhaifu na atakuwa shabaha ya malengo maovu siku zote.

영어

the security threat is cited as the reason: a child inside a prison is a constant vulnerable life and constant hostage target.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini ukweli ni kwamba obama na ulaya watafurahi kuikabili uganda kwa sababu ni shabaha rahisi ukilinganisha na, tuseme, china.

영어

but the truth is that obama and europe are happy to take uganda on because it is an easy target compared to, say, china.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

asasi ya bahrain watch, inayojihusisha na utafiti na uwazi, ilisema kuwa anuani ya twita ya takrooz inasemekana kuwa shabaha ya kufuatiliwa na serikali ya bahraini.

영어

bahrain watch, a research and transparency group, reported that takrooz' twitter account was repeatedly targeted for surveillance by the bahraini government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

makala ya kwenye blogu iliyoandikwa na kachwanya, ambaye ni mmoja wa wanablogu wanaoblogu sana nchini kenya, alianika ajenda nzima na vilevile shabaha na malengo ya umoja huo.

영어

a blog post by kachwanya, one of kenya’s most prolific bloggers, laid out the full agenda as well as the aim and objectives of the association.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hao wanaotesa huwalenga watoto ambao ni shabaha rahisi, huku wakijua kila kitu kuhusu wanapotokea na namna wwanavyofikiri, na kukonga imani ya watoto hao na kuwapa mazingira ya kuwafariji ambayo mara nyingine watoto hao hawanayo.

영어

abusers target children who can be soft targets, knowing everything about their background and psyche, winning their trust and providing that comfort zone which sometimes a child lacks.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@acarvin: video ya kusikitisha inaonyeshwa kwenye kituo cha al jazeera hivi sasa -ikiwaanesha jamaa kadhaa wakirusha mawe, kila mmoja akimwulika kwa toshi ya kijani ili kupata shabaha kwa wapinzani wao

영어

@acarvin: surreal footage on aje now - over a dozen guys throwing rocks, each lit up by a green laser to be target by opposing side

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

shabaha yake ni kuthibitisha imani yenu. hata dhahabu yenyewe ambayo huharibika, hujaribiwa kwa moto; hali kadhalika na imani yenu ambayo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe ipate kuwa thabiti. hapo mtapokea sifa na utukufu na heshima siku ile yesu kristo atakapofunuliwa.

영어

that the trial of your faith, being much more precious than of gold that perisheth, though it be tried with fire, might be found unto praise and honour and glory at the appearing of jesus christ:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,747,481,717 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인