검색어: shauri mbaya kabisa (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

shauri mbaya kabisa

영어

the worst advice

마지막 업데이트: 2021-02-23
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni mbaya kabisa

영어

worst call

마지막 업데이트: 2022-02-16
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mimi ni mbaya kabisa

영어

don't get your hopes up

마지막 업데이트: 2021-04-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hao watapata hisabu mbaya kabisa, na makao yao ni jahannamu.

영어

for them there will be the terrible reckoning.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hao ndio watapata adhabu mbaya kabisa, na hao katika akhera ndio watapata khasara zaidi.

영어

it is they for whom a grievous chastisement lies in store; it is they who shall be the greatest losers in the hereafter.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hao watapata hisabu mbaya kabisa, na makao yao ni jahannamu. na hapo ni pahala pabaya mno!

영어

(as for) those, an evil reckoning shall be theirs and their abode is hell, and evil is the resting-place.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

atakaye kuwa anapambana kwa uso wake na adhabu mbaya kabisa siku ya kiyama (ni sawa na watenda wema?)

영어

is someone who fends off with his face the terrible punishment [meted out to him] on the day of resurrection…?

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na miongoni mwenu wapo wanao rudishwa kwenye umri mbaya kabisa, hata akawa asijue kitu baada ya ujuzi alio kuwa nao.

영어

and among you is he who is reversed to the most decrepit [old] age so that he will not know, after [having had] knowledge, a thing.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

je! atakaye kuwa anapambana kwa uso wake na adhabu mbaya kabisa siku ya kiyama (ni sawa na watenda wema?)

영어

can he who will have to shield himself against the torment of the day of resurrection (be the same as one at peace)?

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na mwenyezi mungu amekuumbeni; kisha anakufisheni. na miongoni mwenu wapo wanao rudishwa kwenye umri mbaya kabisa, hata akawa asijue kitu baada ya ujuzi alio kuwa nao.

영어

allah has created you, then he takes you away, and there are some among you who are relegated to the nethermost age so that he knows nothing after [having possessed] some knowledge.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

atakaye kuwa anapambana kwa uso wake na adhabu mbaya kabisa siku ya kiyama (ni sawa na watenda wema?) na wataambiwa wenye kudhulumu: onjeni hayo mliyo kuwa mkiyachuma!

영어

is he, then, who will shield himself with his face from the evil of torment on the day of resurrection be as he who is secure therefrom and it shall be said unto the wrong-doers: taste ye that which ye have been earning.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na wasio muitikia, hata wangeli kuwa navyo vyote viliomo katika ardhi na mfano wa hivyo, bila ya shaka wangeli vitoa kujikombolea! hao watapata hisabu mbaya kabisa, na makao yao ni jahannamu.

영어

for those who fail to obey, the reckoning will be hard, even if they possess and give as ransom all that there is on the earth, and as much more; and hell will be their abode: how wretched is its wide expanse!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na musa alipo waambia watu wake: kumbukeni neema ya mwenyezi mungu aliyo kujaalieni, pale alipo kuokoeni kutokana na watu wa firauni walio kupeni adhabu mbaya kabisa, wakiwachinja wenenu wanaume, na wakiwawacha hai wanawake.

영어

and [recall, o children of israel], when moses said to his people, "remember the favor of allah upon you when he saved you from the people of pharaoh, who were afflicting you with the worst torment and were slaughtering your [newborn] sons and keeping your females alive.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

na musa alipo waambia watu wake: kumbukeni neema ya mwenyezi mungu aliyo kujaalieni, pale alipo kuokoeni kutokana na watu wa firauni walio kupeni adhabu mbaya kabisa, wakiwachinja wenenu wanaume, na wakiwawacha hai wanawake. na katika hayo ulikuwa mtihani mkubwa unao toka kwa mola wenu mlezi.

영어

and (remember) when musa (moses) said to his people: "call to mind allah's favour to you, when he delivered you from fir'aun's (pharaoh) people who were afflicting you with horrible torment, and were slaughtering your sons and letting your women alive, and in it was a tremendous trial from your lord."

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kituo cha hifadhi ya wanyama, bila shaka, ni moja ya maeneo machache unayoweza kuyatembelea na kujionea jinsi watu wanavyobadilika kulingana na vionjo na matakwa ya tembo na siyo tembo kubadilika kulingana na namna watu wanavyoishi. linapokuja suala la kuchagua niende kwenye sehemu ipi ya utalii wa tembo, huwa ninakuwa na machaguo mengi kwani karibu maeneo yote ulimwenguni huwa na tabia ya kutokuwajali kabisa tembo, ikiwa ni sawa tu na kuhama kutoka kushuhudia maisha mbaya kabisa ya tembo (= kusafirisha magogo) kwenda kushuhudia maisha mengine ya tembo(= kutokutunzwa vizuri kunakotokana na shughuli za kitalii).

영어

the elephant conservation center is probably one of the few places you can visit where it’s not about elephants adapting to people’s schedules and needs but where people adapt to the rhythm and needs of the elephants i am very picky when it comes to choosing an elephant “place” as there are far too many all over the world which treat their elephants badly and which just means moving from one horrible life (=logging) to another (= bad treatment for tourism purposes).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,800,520,472 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인