검색어: taharuki (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

taharuki

영어

state of emergency

마지막 업데이트: 2021-11-30
사용 빈도: 3
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakati mafuriko yalipotokea, kulikuwa na taharuki katika nchi ... mimi sikubabaika kabisa.

영어

when the floods occurred, there was panic in the land... i was not moved.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mwitikio wa awali kabisa wa wananchi wa korea kusini kwa habari hizi ulikuwa ni taharuki.

영어

the south korean public's initial response to the news was pure shock.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hivi unajua kwamba taharuki hii tuliyonayo kwa kumpoteza na mj, wairaki wengi wanakutana nayo kila siku?

영어

do you know that this shock we feel at the loss mj’s death, many iraqis face it everyday?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

vilevile ulionyesha jinsi maslahi binafsi ya kibiashara pamoja na mtizamo taharuki uliopita kiasi wa baadhi ya wanablogu maarufu wa urusi.

영어

it also showed commercialization and excessive cynicism of some of the popular russian bloggers.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kundi la isis, ambalo ni tawi la al qaeda limedhibiti sehemu kubwa ya syria na iraq, na kusababisha taharuki kubwa na kusababisha uharibifu mkubwa ndani ya kipindi cha miezi michache.

영어

the isis, an al qaeda off-shoot has come to occupy large swathes of syria and iraq, leaving behind a trail of horror and destruction in a few months.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

watu walipatwa na taharuki huku wakikimbia na kuruka mageti na kisha kuingia mitaani pale wavamizi wawili walipotupa bomu la mkono pamoja na kuvurumisha mizunguko kadhaa ya risasi, shambulizi linalodhaniwa kuwa liliwalenga maafisa wa polisi waliokuwa wameweka doria katika eneo la ottoman-era.

영어

crowds panicked and people fled over gates and into the streets after two assailants unleashed a stun grenade and several rounds of automatic gunfire, allegedly targeting police officers standing guard at the ottoman-era site.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,747,994,567 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인