검색어: uchujaji (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

uchujaji

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

rz inakabili vipi uchujaji wa habari?

영어

how does rz deal with filtering?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

3) uchujaji wa habari hauwezi kuwa na nguvu iwapo mawasiliano ya intaneti yatabaki bila kuchujwa.

영어

3) information censorship is ineffective as long as internet remains uncensored. rising number of internet users and independent online contents will shape major opinions and put government under pressure.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika kutoa majibu, wenye nguvu katika sekta ya utamaduni walishutumu kuwa kuna uchujaji katika malumbano haya.

영어

in response, france's cultural establishment has thrown accusations of censorship into the debate.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uchujaji wa kimatibabu ilifanywa kabla ya kuondoka, na waafrika kusini wanne waliokuwa wanaonyesha dalili za virusi vya korona waliachwa nyuma kupunguza hatari.

영어

medical screening was performed prior to departure, and four south africans who were showing signs of coronavirus were left behind to mitigate risk.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati huohuo, kampeni kadhaa zinamtaka rouhani kuboresha mtandao wa intaneti wa iran ikiwa ni pamoja na kukomesha uchujaji wa taarifa katika mtandao wa intaneti.

영어

in the meantime several campaigns also asked rouhani to fix the iranian internet and end filtering.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

siku ya pili ya warsha ya wanablogu wa kiarabu ilianza na mada inayohusu mtandao wa herdict, tovuti inayotumia vyanzo vya watumiaji kukusanya taarifa za uchujaji wa habari kwenye intaneti kutoka kwa watumiaji duniani kote.

영어

the second day of the arab bloggers workshop kicked off with a presentation about herdict web, a site which uses crowdsourcing to gather reports of internet filtering from users around the world.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kampeni ya facebook ilimtaka rouhani kukomesha uchujaji wa taarifa katika mtandao wa facebook, na kikundi cha wanablogu na wanaharakati wa sayansi ya mfumo wa mawasiliano na udhibiti wake walimwandikia barua rais mteule wakimtaka aongeze kasi ya mtandao wa intaneti.

영어

a facebook campaign asked rouhani to end the filtering of facebook, and a group of bloggers and cyber activists wrote a letter to the president-elect asking him to increase internet speeds.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

halafu, jambo la kuvutia, licha ya mkakati wa kutumia vyombo vya habari vya mtandaoni kukosoa uchujaji habari, moja ya majimbo yanayo ongozwa na upande wa upinzani liliamua, kwa hakika, kupeleka bungeni muswada wa sheria ya uhuru wa habari ili kuweka wazi taarifa kwa manufaa ya umma kwa kila mtu.

영어

interestingly, apart from online media strategy to criticize censorship, one opposition-led state actually took the unprecedented move to table the freedom of information bill to disclose information of public interests to every individual.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,792,866,355 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인