검색어: uelewa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

uelewa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

vita vya uelewa

영어

the fight for awareness

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kiongozi bora anapaswa kuwa na uelewa

영어

a good leader should be understanding

마지막 업데이트: 2024-06-06
사용 빈도: 2
품질:

스와힐리어

sasa wazo kama hilo linalolenga kukuza uelewa kwa lugha za asili limepamba moto mtandaoni.

영어

now a similar concept aimed at awareness for indigenous languages is making its way around the internet.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

familia za watu waliowekwa kizuizini wanaiona siku hii kama nafasi ya kukuza uelewa kuhusu malengo yao.

영어

the families of detainees saw this day as a chance to raise awareness about their cause.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama unataka kupata uelewa mzuri wa siasa za japani, shisaku ni mahali sahihi pa kuanzia.

영어

if you want to truly get a good understanding of japanese politics, shisaku is a good place to start.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kampeni hiyo ilitafuta pia kujulisha na kukuza uelewa wa masuala na vikwazo vinavyotokana na hali ya sasa ya mtandao.

영어

the campaign is also seeking to inform and raise awareness on the issues and limitations of the current connectivity conditions.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa hiyo, kuweni na uelewa mdogo kwamba wale wasio waafrika wanaioona kelele ya vuvuzela kuwa inakera kupita kiasi.

영어

so, have a bit of understanding that most non-africans find the v-noise irritating in the extreme.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ila “uelewa wa kimazingira” ama maisha endelevu unasababishwa na mada ya mwaka jana; umasikini.

영어

rather the "environmental consciousness" or sustainable living is caused by last year's topic; poverty.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

alikusudia kutoa zawadi zipatazo 500 pamoja na barua ya kukuza uelewa wa watu kuhusu suala la kukamatwa kwa watu kiholela nchini saudi arabia.

영어

she was planning to give away 500 gifts that contain a letter to raise awareness about the issue of arbitrary detention in saudi arabia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama unahitaji kukuza uelewa wa kina kuhusu japan, blogu hizi ambazo nyingi zimeandikwa na watu waliobobea, ni uwanja mzuri wa kuanzia.

영어

if you're interested in developing a more in-depth understanding of japan, these blogs, many written by expert expats, are a great place to start.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuzungumza lugha moja kunasababisha kuwa na mtazamo finyu, kuyatazama mambo kwa uelewa mdogo kwa sababu ya ukweli kwamba maarifa yote ayanayopatikana yanakuwa kwenye lugha moja tu.

영어

monolingualism encourages insularity, a restricted worldview in which the only knowledge available to one is from one linguistic source.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ingawa jamii zaidi na zaidi zinaanza kugundua uwezekano wa kuweka lugha zao mtandaoni, hatua zaidi na zaidi zinahitajika kufanyika ili kujaribu kukuza uelewa na kutangaza juhudi hizi.

영어

even though more and more communities are beginning to discover the possibilities of sharing their language online, much more can be done to raise awareness and highlight these efforts.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ni katika kuenzi urithi wa kitamaduni na wa sanaa ya ubunifu wa majengo kwa jiji la dar es salaam sambamba na juhudi za kukuza uelewa kwa wananchi juu ua tishio la urithi huu linalotokana na kasi kubwa ya kupanuka holela kwa jiji hilo.

영어

it is a celebration of the cultural and architectural heritage of dar es salaam as well as an effort to raise awareness of the threats to this heritage posed by rapid and unplanned urban development.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwandishi wa habari za uchunguzi na mtengenezaji wa filamu stanley kwenda (@stanleykwanda) alibainisha kuwa ushiriki wa polisi inawezekana uliwatisha wapiga kura wasio na uelewa:

영어

investigative journalist and film maker stanley kwenda (@stanleykwanda) noted that participation of police could have intimidated illiterate voters:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kufuatia kuthibitishwa kwa mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini senegali , nchi jirani ya gambia, ilikumbwa na tahayaruki kufuatia wasiwasi wa namna nchi hiyo ilivyojiandaa kukabiliana na maradhi hayo kadhalika kuhusu uelewa wa jamii kuhusiana na ugonjwa huo.

영어

following the confirmation of the first ebola case in senegal, the gambia's immediate neighbour, concerns soared over the country's preparedness and public awareness about the disease.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

iwe kwamba uko upande wa wenye wasiwasi na kampeni ya mtandaoni au una imani kubwa na kampeni hiyo, ya kupinga ubakaji ya #menagainstrape inatoa mwanga mdogokwneye akili za vijana wadogo kuhusu uelewa wao kuhusina na na ukatili wa kijinsia..

영어

whether you are on the cynical side of social media trends or an enthusiast, discussions like #menagainstrape provide a small window in to young minds and their perceptions about sexual violence.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nchini hong kong, wanafunzi katika shule wanakiri kwamba wanafunzi mashoga wanazomewa na kunyanyaswa, kwa hiyo kuna shirika limeanzisha kampeni ya kukuza uelewa wa suala hili, wakijikita zaidi kwenye kuandaa video zenye mahojiano na wanafunzi wenye mihemuko tofauti ya kimapenzi pamoja na wataalamu katika mada zinazohusika.

영어

in hong kong, students in schools admit that homosexual students are bullied and discriminated, so an organization has spearheaded a campaign to raise awareness on this issue, focusing on producing online videos of interviews with sexually diverse students and experts on the topic.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

#zimbabwedecides kuhusishw akwa polisi kama & maafisa wa uchaguzi katika kuwasaidia wapiga kura wasio na uelewa inawezekana kuliwatisha wapiga kura hao — stanley kwenda (@stanleykwenda) august 2, 2013

영어

#zimbabwedecides involvement of police & electoral officers in assisting illiterate voters could have intimidated voters — stanley kwenda (@stanleykwenda) august 2, 2013

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,802,664,635 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인