전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
wakatoliki wamekuwepo kwa muda mrefu zaidi, lakini kwa makusudi kabisa hawakutaka kujihusisha na uinjilishaji wa moja kwa moja.
catholics have operated for longer, but purposefully have not engaged in proselytizing.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
pamoja na kutoa uhuru huo, inaonekana kwamba siku za karibuni serikali inachukua hatua kali dhidi ya uinjilishaji, uwe ule wa waziwazi au unaodhaniwa kufanyika.
despite guarantees of freedom, it would appear that the government is taking a stronger approach of late to proselytism, both real and perceived.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
wakatoliki wanaofundisha raia wa moroko lugha na stadi nyingine za kazi katika jengo hili hawashughuliki na uinjilishaji lakini nao wamenaswa na chuki hizi dhidi ya ukristo kufuatia kufukuzwa kwa wakristo kadhaa hivi karibuni.
the catholics who teach moroccans languages and career skills in this building do not engage in proselytism but have caught up in the anti-christian sentiment following the recent expulsions of christians.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: