검색어: ukiachana na mambo mengine lazima kuwe na masoko (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

ukiachana na mambo mengine lazima kuwe na masoko

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

jela, na jela na mambo mengine.

영어

jail, and jail and other things.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

orodha hiyo ilipima, pamoja na mambo mengine, utoaji vifaa na huduma za jamii unaofanywa na serikali.

영어

the index measured, among other things, the delivery of public goods and services by government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

no mbaya zaidi ya kubaka na uhaini pamoja na mambo mengine yote aliyokwisha chapwa nayo.

영어

it is worse than the rape and treason and all other things slapped on him.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bbc wanatangaza mdahalo, cnn haina habari na mambo mengine ziadi ya mpango wa nyuklia wa iran.

영어

bbc is broadcasting a debate, cnn is fixated on the iran nuclear deal.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lazima kuwe na ulinzi dhidi ya unyanyasaji na haki ya raia kushugulikia unyanyasaji;

영어

there would have to be safeguards against abuse and the rights of citizens to respond to abuses;

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

pamoja na mambo mengine, jimbo la mheshimiwa angelot linakabiliwa na changamoto za kukosekana kwa maji safi, umeme pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara.

영어

hon. alengot's area faces challenges of clean water, electricity and poor roads among others.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

anwani feki ya twita ya rossneft rais wa gor sechin ilionyesha kuwa papa huenda alikuwa na mambo mengine ya ndani yaliyomfanya ajiuzulu:

영어

the fake twitter account of rossneft president igor sechin implied that the pope may have had ulterior motives in resigning:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

moja ya ofisi ambazo zinahudumia wamalawi wengi ni ofisi ya serikali ambako pamoja na mambo mengine wateja husaidiwa kwa huduma zinazohusu masuala ya mirathi.

영어

one of the offices that serves lots of malawians is the office of the administrator general where among others, clients are helped with services regarding their deceased estate.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

henderson anabainisha kuwa zipo nyimbo kuhusu "chakula, familia, majinamizi, watoto wasumbufu" na mambo mengine mengi.

영어

henderson points out there are lullabies about "food, families, monsters, children being naughty" and many other things.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

hakukuwa na vifaa vya kutafuatia vitu vya chuma alivyobeba mtu wala uwepo wa mashine maalum ambazo tulipaswa kupita kwanza katika milango ya maduka, katika majumba ya maonesho na mambo mengine yanayohusiana na hayo.

영어

there were no metal detectors or special machines that we had to pass through at the entrance of shopping centers or museums or anywhere for that matter.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alishiriki pia katika kipindi cha maswali na majibu na waandishi wa habari kufuatia hukumu hiyo mnamo machi 14 akieleza pamoja na mambo mengine umuhimu wa picha za video katika uendeshaji mashitaka.

영어

he appeared in a q&a with journalists following the verdict on march 14 explaining among other things the importance of video in the trial.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

muswada huo, pamoja na mambo mengine, unawalazimisha wanandoa kuwa na umiliki sawa wa mali zao, na kuwafanya wenzi wanaoishi pamoja bila ndoa kuwa na haki za kumiliki mali na pia unafanya ubakaji unaofanyika kati ya wanandoa kuwa kosa la jinai:

영어

the bill, among other things, makes asset-sharing mandatory in a divorce, provides cohabiting partners with property rights and makes marital rape illegal:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kukabiliana na idadi kubwa ya mimba zisizo tarajiwa na elimu ya maswala ya uzazi haina budi kuanzishwa mashuleni na ni lazima kuwe na maeneo maalum ambayo kondomu pamoja na dawa za uzazi wa mpango zitakuwa zinatolewa bila malipo badala ya kukataza utoaji wa mimba.

영어

to fight the high numbers of unwanted pregnancies, sex education should be introduced in schools and there must be places where condoms and oral contraceptives are disseminated free of charge, instead of putting a ban on abortions.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

pamoja na mambo mengine, walizungumzia umuhimu wa upatikanaji wa mtandao wa intateti usio na mashaka na kuonya dhidi ya tofauti za upatikanaji wa mtandao wa intaneti zilizopo katika ngazi ya kitaifa, huku wakionesha mashaka yao dhidi ya kuongezeka kwa kukosekana kwa uhuru wa watumiaji wa mtandao ulimwenguni kufuatia matukio ya hivi karibuni ya kuchunguzwa na kufuatiliwa.

영어

among other things, they mention the importance of globally consistent internet operations and warn against the fragmentation of the internet at a national level, while expressing their concern about the global decrease in confidence of internet users due to the recent revelations of monitoring and surveillance.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

this is uganda (thisis256) ni jukwaa la waandishi waliobobea kutoka uganda walio na utayari wa kuandika habari makini za kuihusu nchi yao, wakilenga kutokomeza uanahabari uchwara, njaa, ebola, ukabila, pamoja na mambo mengine.

영어

this is uganda (thisis256) is a platform of talented writers from uganda who are determined to write positive stories about their country, banishing stories about poverty porn, hunger, ebola, and tribalism, among others.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

pamoja na mambo mengine, takwimu za maoni zinaonyesha kwamba, wa-somali wanahitaji somalia itakayozingatia misingi ya “sharia” za kiislamu kwa makosa ya madai na jinai, serikali kuu iliyo imara na (wa-somali) wamegawanyika juu ya hatua za kuwajumuisha wanawake katika muundo wa serikali.

영어

the poll shows, among other things, that somalis want a somalia based on the civil and criminal codes of sharia, a strong central government and are divided over the inclusion of women in government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,781,537,649 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인