검색어: uliofanyika (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

uliofanyika

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

huu ni mkutano wa pili kufuatia ule uliofanyika paris mwaka 2013.

영어

this is the second installment of the forum following the initial one in paris in 2013.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matangazo rasmi ya uchaguzi huo uliofanyika jumanne bado yanaendelea kutangazwa.

영어

the official results of tuesday’s election are still to be announced.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mgomo huu wa sasa unafuatia mgomo wa madaktari uliofanyika mapema mwaka huu.

영어

this current strike follows a strike earlier this year by doctors.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

leo akiwa mwenyekiti mwenza katika mkutano wa kamisheni ya broadband kwa ajili ya maendeleo ya kidijitali uliofanyika kule geneva, uswisi.

영어

today co-chaired the meeting of the broadband commission for digital development held in geneva, switzerland.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maelfu ya watu waliandamana mjini tehran, mashdad na kwenye miji mingine mikubwa ya irani ili kupinga ushindi wa rais mahmoud ahmadinejad katika uchaguzi mkuu uliofanyika ijumaa.

영어

thousands of people demonstrated in tehran, mashhad and several other major cities in iran to protest against president mahmoud ahmadinejad's proclaimed victory in the iranian presidential election on friday.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika jijini melbourne, jarida la jom, linalohudumia jumuiya ya malaysia, ilitengeneza video juu ya siku ya kupiga kura kwa njia ya posta, uliofanyika wiki moja kabla ya mei 5.

영어

in melbourne, jom magazine, a magazine that caters to the malaysian community, made a video about the postal voting day, which was held a week before may 5.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

blogu ya city press inaandika kwamba kujinyonga kwa godfrey kamanya, naibu wairi wa malawi, baada ya kushindwa kukitetea kiti chake cha ubunge kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika mei 20, 2014 :

영어

city press reports the suicide of godfrey kamanya, a malawian deputy minister, apparently after losing his parliamentary seat during the general elections held on 20 may 2014 :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

adam minter amesikitishwa na maoni ya obama kwenye mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa jiji la shanghai, hasa, maelezo yake kuwa "mimi ni muunga mkono mkubwa wa kutokuchuja habari".

영어

adam minter is disappointed by obama's comment in the shanghai town hall meeting with students, in particular, his expression that "i'm a big supporter of non-censorship".

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

alisema kwamba japokuwa amepiga kura katika "kila uchaguzi uliofanyika wakati alipokuwa akiishi uingereza," alikuwa "haoni sababu" ya kufanya hivyo nyumbani naijeria kwa sababu ya dhana iliyoenea kwamba 'kura za wanaijeria hazina maana' na kwamba 'washindi tayari wamekwisha amuliwa.'

영어

he said that although he had voted in “every election that was held while i lived in england,” at home in nigeria he just “didn't see the point,” because of the prevalent assumption that 'nigerian votes do not count' and 'the winners have already been decided.'

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,746,506,069 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인