검색어: ulishuhudia (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

ulishuhudia

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mji mkuu wa mauritania, nouakchott ulishuhudia mapigano kati ya vikosi vya usalama na umati wa "wananchi wenye hasira".

영어

the mauritanian capital nouakchott witnessed violent clashes between security forces and an angry crowd.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

neumann pia anabaini kuwa mwaka 2009 pia ulishuhudia kupitishwa kwa vigezo vya kupima vyenye kasoro ambavyo havizitaki nchi wanachama kupata mapendekezo kutoka kwa asasi huru zisizo za kiserikali zenye makao ndani ya nchi wanachama.

영어

neumann also notes that 2009 saw the passing of a flawed review mechanism which doesn't require member states to seek input from independent ngo's based in their countries.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ujuzi wa solana umemsaidia kumudu vyema majukumu ya uhariri wa global voices katika kipindi ambacho uandishi wa habari ulishuhudia blogu na mitandao ya kijamii vikigeuka kuwa majukwaa muhimu kuwawezesha wananchi wa kawaida kusema mawazo yao.

영어

solana's deft handling steered global voices' editorial through a rapidly shifting media landscape that saw blogging eclipsed by social networks as the primary platform for citizen expression.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanzo wa msimu wa fasihi ya kifaransa mwaka huu ulishuhudia mwandishi wa riwaya na michezo ya kuigiza mwenye asili ya kisenegali na kifaransa marie n’diaye akipewa tuzo iliyosuburiwa sana ya prix goncourt.

영어

the start of this year's french literary season saw french-senegalese novelist and playwright marie n'diaye awarded a much-awaited prix goncourt.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matamshi hayo yalirejesha upya mjadala wa suala la ushoga ambalo ndilo lililokaribia kabisa kukifanya chama tawala enzi hizo mmd kumwangamiza kisiasa kiongozi wa upinzani wakati huo, sasa rais wa nchi michael sata, wakati wa kampeni za kuelekea uchaguzi wa mwezi septemba ambao ulishuhudia akimbwaga rais wa zamani rupiah banda.

영어

his statement brought back into focus the issue of homosexuality for which the then ruling mmd nearly destroyed the then opposition leader, now republican president michael sata, during the campaigns leading to last september’s elections which saw him beat former president rupiah banda.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,793,356,759 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인