검색어: uzuiaji au matibabu ya magonjwa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

uzuiaji au matibabu ya magonjwa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

hakuna chanjo inayojulikana au matibabu maalum ya kinzavirusi.

영어

there is no known vaccine or specific antiviral treatment.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hakuna chanjo au matibabu mahsusi ya virusi hivi vya korona.

영어

there is no vaccine or specific treatment for the novel coronavirus.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

asili ya magonjwa ya wanyama ya virusi vya korona vya binadamu

영어

zoonotic origins of human coronaviruses

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mantiki hii, uzuiaji wa nlrp3 inflammasome kwa kutumia mcc950 kunaweza kuwa muhimu katika matibabu ya covid-19.

영어

by this reasoning, inhibition of nlrp3 inflammasome with mcc950 might be useful in the treatment of covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kemikali kadhaa ambazo hapo awali ziliidhinishwa kwa matibabu ya magonjwa mengine ya virusi zinachunguzwa kwa matumizi kutibu covid-19.

영어

several compounds that were previously approved for treatment of other viral diseases are being investigated for use in treating covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tcm pia imetumika kutibu aina ya magonjwa nchini china kwa miaka mingi.

영어

tcm has been used to treat a variety of diseases in china for thousands of years.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tovuti hiyo hiyo iliweza kuweka wazi matibabu ya siri aliyokuwa akipatiwa huko ughaibuni.

영어

it is the same publication that could expose the secretive treatments abroad that he used to take.

마지막 업데이트: 2024-04-13
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya viua vijasumu vinaweza kutumuka vingine kama matibabu ya covid-19:

영어

some antibiotics may be repurposed as covid-19 treatments:

마지막 업데이트: 2024-04-13
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

dawa zingine za antibiotiki vimegundulikwa kuwa zinaweza kutumika kwa matibabu ya covid-19:

영어

some antibiotics that have been identified as potentially repurposable as covid-19 treatments:

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

shule ya masomo ya matibabu ya nyu langone inafanya majaribio ya usalama na ufanisi wa matumizi ya hydroxychloroquine.

영어

nyu langone medical school is conducting a trial on the safety and efficacy of preventative use of hydroxychloroquine.

마지막 업데이트: 2024-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

chloroquine ni dawa ya kuzuia malaria ambayo hutumika pia dhidi ya magonjwa fulani ya kingamwili kushambulia mwili kimakosa.

영어

chloroquine is an anti-malarial medication that is also used against some auto-immune diseases.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ribavirin: ribavirin ilipendekezwa kwa matibabu ya covid-19 kulingana na miongozo ya toleo la 7 la uchina

영어

ribavirin: ribavirin was recommended for covid-19 treatment according to chinese 7th edition guidelines

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

itakuwa ni jambo la kuvutia kuzipa sifa taratibu za hatua na kuweka wazi viambajengo faafu vya matibabu ya tcm au ujumuishaji wavyo ikiwezekana.

영어

it would also be intriguing to characterize the mechanism of actions and clarify the effective components of tcm treatments or their combinations if possible.

마지막 업데이트: 2024-04-13
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

daktari wa majaribio hurekodi na kuwasilsha maelezo ya ufuatiliaji kuhusu hali na matibabu ya mhusika, kukamilisha uingizaji wa data kupitia tovuti ya who.

영어

the trial physician records and submits follow-up information about the subject status and treatment, completing data input via the who solidarity website.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ingawa nchi kadhaa hutumia chloroquine au hydroxychloroquine kwa matibabu ya watu waliolazwa hospitalini kwa sababu ya covid-19, kuanzia march 2020 dawa hiyo haijaidhinishwa rasmi kupitia majaribu ya kliniki nchini marekani..

영어

although several countries use chloroquine or hydroxychloroquine for treatment of persons hospitalized with covid-19, as of march 2020 the drug has not been formally approved through clinical trials in the united states.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

utangulizi wa milipuko ya magonjwa ya asili inaweza kusababisha changamoto za ishara kwa usalama wa kimataifa kwa kudhoofisha uchumi wa kitaifa, biashara ya kimataifa na usafiri, afya ya umma

영어

introduction natural outbreaks of disease could pose signifi cant challenges to global security by undermining national economies, international trade and travel, public health

마지막 업데이트: 2024-05-13
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matibabu hayo hayajaidhinishwa na mchakato wa majaribio ya kliniki ya fda na yameidhinishwa chini ya eua pekee kama matibabu ya majaribio ya matumizi ya dharura kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini lakini hawawezi kupokea matibabu katika jaribio la kliniki.

영어

the treatment has not been approved by the fda's clinical trials process and is authorized under the eua only as an experimental treatment for emergency use in patients who are hospitalized but are not able to receive treatment in a clinical trial.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baada ya jaribio, wafanyakazi huamua dawa zinazopatikana hospitalini, tovuti ya who huchagua mhusika aliyelazwa hospitalini bila utaratibu kuwa mmoja wa kufanyiwa majaribio ya dawa au kwa kiwango cha utunzaj wa hospitali kwa ajili ya matibabu ya covid-19.

영어

after the trial staff determines the drugs available at the hospital, the who website randomizes the hospitalized subject to one of the trial drugs or to the hospital standard of care for treating covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi wanapanda ndege kwenda kutibiwa 'aleji', wakati wengine wengi wakitegemea mizizi ya mitishamba kwa sababu tu hawawezi kumudu matibabu ya kawaida kabisa ya malaria.

영어

some take a plane to get treated for hay fever, while others are pushing up daisies because they can’t afford basic malaria treatment.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matibabu haya ni pamoja na matibabu ya kisasa na yanayowezekana na dawa zinapambana na virusi, kikandamizi vya kinga, steroids, plasma kutoka kwa wagonjwa waliopona, msaada wa dawa na wa kisaikolojia kutoka china.

영어

these therapies include current and potential treatments with antiviral drugs, immunosuppressants, steroids, plasma from recovered patients, chinese medicine, and psychological support.

마지막 업데이트: 2024-04-13
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,780,160,123 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인