검색어: vifusi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

vifusi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

vifusi kwaajili ya ukarabati wa barabara

영어

rubble

마지막 업데이트: 2022-02-09
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

watu wengi bado wanazikwa kwenye vifusi vya zege.

영어

many are still buried under concrete rubble.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

umeonesha kuwa hata bangladesh inaweza kuishi kwenye vifusi.

영어

sister reshma - you have come back from the dead hole. you have shown that bangladesh even survives under rubble.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

bangladesh: jengo laporomoka, mamia wauawa kwenye vifusi

영어

hundreds killed and trapped in bangladesh garment factory collapse · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nilimuona akiwa anaendesha kigari hicho cha kuchezea kwenye vifusi na majabali.

영어

i watched him push his toy through the rubble and rock.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tumaini la kuwapata watu wengine wakiwa hai katika vifusi vya jengo hilo linazidi kufifia.

영어

hope that others survivors will be found among the rubble is fading fast.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ndiyo kwanza nimegundua kwamba bado kuna mamia ya watu katika eneo hili la jacmel ambao bado wamekwama kwenye vifusi.

영어

i just found out that there are still hundreds of people here in jacmel trapped under the rubble.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kumbukumbu katika vifusi vya majengo - nilipokuwa nikitembea katika mji mdogo wa sankhu uliosheheni vifusi vya majengo, niliiona picha hii.

영어

memories in the rubble - as i was walking through a rubble filled alley of sankhu, i came across this photograph.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika siku chache za kwanza mara baada ya jingo hilo kuporomoka mnamo aprili 24, 2013, watu 2,428 wameshaokolewa kutoka katika vifusi vya jengo hilo.

영어

in the first few days after the structure caved in on april 24,2013, 2,428 people were rescued from the collapsed building.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

waokoaji wa bangladeshi wakimuokoa mfanyakazi wa kiwanda cha kutengenezea nguo ajulikaye kwa jina la reshma kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka baada ya kufunikwa kwa vifusi vya jengo hilo kwa siku 17. picha na rehman asad.

영어

bangladeshi rescuers retrieve garment worker reshma from the rubble of a collapsed building in savar after 17 days. image by rehman asad.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jingo lilipoporomoka, mwanamke huyo wa miaka 24 alizuiwa ndani ya msikiti uliokuwa sakafu ya ardhi na aliweza kustahimili kwa masaa 416 kwenye vifusi kwa kupumua kupitia kwenye bomba pamoja na kutafuta biskuti kwenyee vibegi vido vya mgongoni vya wenzake waliokuwa wameshapoteza maisha.

영어

as the building collapsed, the 24-year-old was trapped in a mosque inside the basement and survived 416 hours there by breathing through a pipe and scavenging for biscuits in the rucksacks of dead colleagues.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama vile aliyetolewa kwenye kipande cha filamu ya steven speilberg, nilimuona mvulana huyu akiendesha kitu mfano wa baiskeli alichokiunda yeye mwenyewe kwa kutumia vapande vya miti pamoja na matairi mawili ya chuma, akiwa anapita kwenye vifusi vya majengo ambavyo awali yalikuwa makazi ya jirani zake.

영어

as if pulled from a steven speilberg movie scene, i saw this boy pushing his hand made toy designed from a simple stick and two metal wheels through the rubble and carnage that was once his neighbors home.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

siku ifananayo na ile iliyogharimu maisha ya watu mara baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa tisa huko savar pembezoni mwa mji mkuu wa banglasesh, dhaka idadi ya vifo imeongezeka hadi 1,055, hadi sasa hili ndilo jingo lililowahi kuporomoka na kuua idadi kubwa zaidi ya watu tangu lilipotokea shambulizi la kigaidi mnamo tarehe 9/11, mfanyakazi mmoja mwanamke ajulikanaye kwa jina la reshma begum amekutwa akiwa hai baada ya kuzuiwa na vifusi vya jengo hilo kwa siku 17.

영어

the same day that the death toll of a nine-story factory collapse in savar in the outskirts of bangladesh's capital city of dhaka rose to 1,055, now the deadliest building collapse since the 9/11 terrorist attacks, a female worker named reshma begum was found alive after being trapped in the rubble for 17 days.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,744,912,706 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인