전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
vikosi vya usalama vikishambulia waandamanaji.
security forces attack protesters
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
“vikosi vya kijeshi ungeni mkono”
"military force support support"
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
waandamanaji mjini isfahan, pia wanalengwa na vikosi vya usalama.
protesters in isfahan, have also been the targets of security forces.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
waandamanaji wanadai kuachiliwa huru kwa wanafunzi waliokamatwa na vikosi vya usalama vya venezuela.
protesters are demanding the release of students arrested by venezuelan security forces.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
@teamkonshens1: inaonyesha namna mwitikio wa vikosi vya dharura ulivyo duni!
@teamkonshens1: just shows how incompetent our emergency response teams are!!
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
wanafunzi waliopinga uchaguzi wa rais katika vyuo vikuu mbalimbali walishambuliwa na vikosi vya usalama.
students who protested against the presidential election at diffrent universities were attacked by security forces.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
polisi na vikosi vya ulinzi vilivamia viwanja vya maidan nezalezhnosti ambavyo ni ngome ya waandamanaji.
police and special forces then stormed maidan nezalezhnosti (independance square), the protesters' stronghold.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
mwanafunzi bila kujali vikosi vya usalama katika mitaa ya libreville, gabon kupitia le gabon qui dit non
a young student n in defiance of the security forces in the streets of libreville, gabon via le gabon qui dit non
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
maandamano hayo ya upinzani yalikabiliwa na matumizi ya nguvu kupita kiasi ya kuyavunja yaliyofanywa na vikosi vya usalama.
the opposition protests were met with a violent crackdown by security forces.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
hata vikosi vya usalama vikijaribu iwezekanavyo kuwakamata hawa majambazi, itakuwa vigumu kupigana na adui akiwa katikati yao.
even if our security forces try their best to get these criminals, its hard to fight an enemy within.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
martin garang anadhani kwamba mgogoro ulisababishwa na mapinduzi ama kushindwa kwa vikosi vya usalama kuushughulikia mchakato wa uteuzi vyema:
martin garang thinks the crisis was either a coup or mishandling reassignments on the part of security forces:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
baadhi ya makundi ya wabalochi yanayopigania taifa lao yanajaribu kuwafukuza raia wasio wabalochi pamoja na vikosi vya kijeshi vya pakistani nje ya jimbo.
some baloch nationalist groups are trying to drive all non-baloch and the pakistan military out of the province.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
inakadiriwa kwamba watu waliouawa katika shambulio hilo mjini humo ni kati ya 90 na 300, waasi wakisema kuwa watu hao walikuwa wamejitenga na vikosi vya assad.
estimates put the number of those killed between 90 to 300 people in the attack on the town, which rebels say they have recently liberated from assad forces.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
chuo kikuu cha elmo sanat mjini tehran waliandamana wakiwa na picha ya kianoush asa, mwanafunzi aliyeuawa na vikosi vya ulinzi majira ya kiangazi mwaka 2009.
elmo sanat university in tehran marched with kianoush asa's photo, a student who was murdered by security forces in the summer of 2009.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
baada ya vikosi vya upinzani kuwa na udhibiti kamili wa bishkek, walikabiliana na hatari nyingine kubwa zaidi, yaani, unyang'anyi.
after the opposition forces won bishkek, they confronted another serious danger: the looters.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
aidha mchafuko ulikuwa mapinduzi ama vikosi vya usalama vilishindwa kuushughulikia machakato wa uteuzi vyema kwenye makao yao. splm imechafua sifa yake kwa kitendo cha kutia hatarini maisha ya watu wasio na hatia.
either it was a coup d'état or security forces mishandling reassignments in their quarters, the splm has tarnished its reputation by putting innocent lives at risk.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
hali ilizidi kuwa mbaya kwa kasi sana pale uongozi ulipotishia kuita vikosi vya usalama ili kuvunjilia mbali mgomo huo baridi, lakini wafanyakazi walithibitisha kwamba walikuwa imara na kuwa wangeendelea na mgomo wao mpaka matakwa yao yatimizwe.
the situation escalated rapidly when the administration threatened to call state security to break the sit-in, but employees confirmed they will continue their open strike till their demands are fulfilled.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
matokeo yake, vikosi vya polisi vya nchi hiyo vilijibu mapigo kwa operesheni maalumu ya kikandamizi iliyoanza siku chache kabla, na kusababisha kukamatwa kwa idadi kubwa ya wanawake hawa katika majimbo yote ya kisiwa hicho.
as a consequence, the regime’s police forces responded with a repressive operation which began days prior, resulting in the arrests of countless of these women throughout all of the island’s provinces.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kuna taarifa zisizodhibitishwa zinazosema kwamba vikosi vya pamoja vya kisaudi, ambavyo vimekuwa vikiishambulia yemen kwa mabomu kwa zaidi ya miezi miwili sasa vimelilenga bwawa la marib, moja wapo ya maajabu makuu ya katika ulimwengu wa ubunifu wa kale wa kiufundi.
unconfirmed reports say that saudi coalition forces, which have been bombing yemen for more than two months have targeted the marib dam, one of the engineering wonders of the ancient world.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
binti akiandamana kivyake kuipinga fifa mbele ya uwanja wa maracana baada ya ubelgiji kucheza na urusi katika makundi yao yaliyoandamana tarehe 22 juni, 2014, pamoja na kuandaliwa kwa vikosi vya usalama kuyazuia maandamano hayo kinyume cha mashindano ya kombe la dunia.
a young woman stages a lone protest against fifa in front of the maracana stadium after belgium played russia in their group stage match on june 22, 2014, despite a large security cordon designed to block such demonstrations against the 2014 world cup.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: