검색어: vipengele vingine vya wavuti vinajumuisha: (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

vipengele vingine vya wavuti vinajumuisha:

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kusitishwa kwa shughuli za kawaida na vikwazo vingine vya ndani.

영어

lockdowns and other internal restrictions

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

unahifadhi pamoja na vitu vingine vya tahamana kaburi la malkia wa maya

영어

it host among other treasures, the tomb of a mayan queen.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

watoto hawa wa kike wanakabiliwa na unyanyasaji na vitendo vingine vya dhuluma dhidi yao.

영어

these female street children are especially vulnerable to abuse and exploitation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

habari zozote katika blogu ni lazima zihakikishwe kwa kutumia vyanzo vingine vya habari.

영어

any news from blogs must be checked against other sources.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hivyo ni tofauti kabisa kutoka kwenye kunukuu blogu kama ilivyo katika vyombo vingine vya habari.

영어

that is very different from just covering blogs by other media outlets.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

matangazo ya moja kwa moja ya al jazeera kutoka misri yameondolewa hewani pamoja na vituo vingine vya televisheni.

영어

al jazeera's live egypt service have been taken off air along with several other tv channels.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

inasemekana kwamba uongozi mpya wa qatari ni ule wenye msimamo wa kihafidhina unaoamini kwamba uendeshaji wa tovuti hiyo hauna budi kushikilia mitazamo ya kidini yenye msimamo wa kihafidhina na kuondolea mbali vipengele vingine.

영어

the new qatari administration is said to be a very conservative one that believes the website should stick to conservative religious issue and removed other sections

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadaye, remdesivir pia ilionyesha kuzuia uwezekano wa kutokea virusi vingine vya rna vya namna moja ikiwa ni pamoja na virusi vya mers na sars.

영어

later, remdesivir also demonstrated possible inhibition of other single stranded rna viruses including mers and sars viruses.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

athari ya alkoholi ya kukausha ngozi inaweza kupunguzwa au kuondolewa kwa kuongeza gliserini na/au viungo vingine vya emolineti kwenye fomula hiyo.

영어

the drying effect of alcohol can be reduced or eliminated by adding glycerin and/or other emollients to the formula.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika nyumba kubwa kuna mabakuli na vyombo vya kila namna: vingine ni vya fedha na dhahabu, vingine vya mbao na udongo, vingine ni vya matumizi ya pekee na vingine kwa ajili ya matumizi ya kawaida.

영어

but in a great house there are not only vessels of gold and of silver, but also of wood and of earth; and some to honour, and some to dishonour.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama ilivyo kwa vyombo vingine vya habari na makundi ya haki za binadamu ulimwenguni, tuna hofu kuwa mashitaka haya ni jaribio la serikali ya morocco la kuwanyamazisha wote wanaojaribu kuhoji kuhusu sera na utendaji wa serikali.

영어

like other media and human rights groups around the world, we fear that this case represents an attempt by the moroccan government to silence those who are critical of its policies and practices.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

antibodi ni immunoglobulin (ig) zinazozalishwa na b lymphocytes kupambana na viini na vitu vingine vya kigeni na zinatambua molekyuli maalum kwenye viini na kupambana nazo moja kwa moja.

영어

antibodies are an immunoglobulin (ig) produced by b lymphocytes to fight pathogens and other foreign objects and they recognize unique molecules in the pathogens and neutralize them directly.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuna fursa nyingi ambapo virusi hivi vya cov vinavyosambazwa na wanyama hukua na kuungana tena, vikisababisha kuibuka kwa virusi vingine vya cov ambavyo vinasambazwa zaidi na/au ni hatari zaidi kwa binadamu katika siku zijazo.

영어

there are plenty of opportunities that these zoonotic covs evolve and recombine, resulting in the emergence of new covs that are more transmissible and/or deadly in humans in future.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kinga huonekana kama na uwezekano, kulingana na tabia ya virusi vingine vya korona, lakini kuna ripoti ya matukio ambayo watu wamepona covid-19 na yameambatana na vipimo chanya vya virusi vya korona katika siku za baadaye.

영어

immunity is seen as likely, based on the behaviour of other coronaviruses, but cases in which recovery from covid-19 have been followed by positive tests for coronavirus at a later date have been reported.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kando na sars-cov na mers-cov, matukio ya kuunganishwa tena kuwa aina nyingine ya hcov yameshuhudiwa pia, ambapo hcov mbalimbali huunganishwa tena na na virusi vingine vya cov vya wanyama kwenye jeni zao zisizo na umbo.

영어

besides sars-cov and mers-cov, recombination events have also been observed in other hcovs, in which the hcovs recombine with other animal covs in their non-structural genes.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuanzia mwezi huu, mtandao wa global voices (katika lugha tofauti) utakuwa ukipendekezwa kwa mamilioni ya watu wanaotumia zana tumizi iitwayo flipboard kwenye simu zao za kisasa au vifaa vingine vya kielektroniki ili kutengeneza kitu kinachofanana na "gazeti" kitakachokusanya mitandao yenye mvuto na maudhui ya mitandao ya kiraia katika sehemu moja.

영어

starting this month, global voices (in different languages) will be recommended to the millions of people who use an app called flipboard on their tablets and smartphones to create the experience of a "magazine" that combines their favorite media and social media content in one place.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,794,182,507 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인