검색어: vyumba (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

vyumba

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

shule yetu ina vyumba 11

영어

our school has 11 rooms

마지막 업데이트: 2024-01-21
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tuna vyumba vya upasuaji na vitanda.

영어

we have operating rooms and beds.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"vita imeenea mpaka kwenye vyumba vya kulala," anasema.

영어

"the war was taken into the bedrooms," she says.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

baada ya kufanya kazi yao, video zao hutumwa kwenye vyumba vya habari.

영어

after they have done their work, the footage would be sent back to the newsroom.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili.

영어

(as for) those who call out to you from behind the private chambers, surely most of them do not understand.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya wafungwa wa kisiasa waliweza kuning'iniza mabango nje ya vyumba vyao vya magereza.

영어

some political prisoners were able to hang a banner outside their cell.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwenye vyumba vya habari, kuna wahariri wengi wa habari na majukumu na juu yao kuna mtu mwingine mwenye sauti ya mwisho.

영어

in the newsroom, there are many news and assignment editors, and above them there is one more person in charge.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hali katika baadhi ya vyumba vya gereza hilo ni mbaya mno ... za kutisha ... tafadhali usiitazame muda mfupi kabla ya kwenda kulala ...

영어

the conditions in some of the cells are unimaginably bad...diabolical...don't watch it before going to bed...

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

udhibiti wa hatari zinazofaa wafanyakazi hawa hujumuisha udhibiti za uhandisi kama vile vyumba vilivyo na hewa iliyo kiwango cha chini na mazingira, na vifaa vya kujikinga kibinafsi vinavyofaa kazi inayofanywa.

영어

hazard controls appropriate for these workers include engineering controls such as negative pressure ventilation rooms, and personal protective equipment appropriate to the job task.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hiyo hapo mwenye nyumba napangisha. ipo karibu na mlimani city na chuo cha ardhi vyumba vitatu kimoja master sebule dinning na jiko ndani full tiles gypsum maji na umeme gali mpaka mlangoni aluminium windows kodi 300 000 mawasiliano 0659 693503 nb mm ndie mwenye nyumba

영어

that's where the landlord is renting. located near mountain city and land college three rooms one master living room dinning with indoor stove full tiles gypsum water and electric garage till door aluminum windows rent 300 000 contacts 0659 693503 nb mm homeowner

마지막 업데이트: 2020-07-01
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ingawa kwa kawaida virusi hivyo haviwezi kusambazwa hewani, chuo cha kitaifa cha sayansi kimependekeza kuwa inawezekena kuambukiza kupitia chembechembe za hewa na vikusanya hewa vilivyo katika njia nje ya vyumba vya watu vilikuwa na sampuli chanya za virusi vya rna.

영어

though the virus is not generally airborne, the national academy of science has suggested that bioaerosol transmission may be possible and air collectors positioned in the hallway outside of people's rooms yielded samples positive for viral rna.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nchini uchina, kumekuwa na matukio ya wageni kunyimwa vyumba na wafanyakazi wa hoteli, na wakazi wa kigeni, hasa watu weusi, wakifurushwa kutoka makazi yao baada ya ilani fupi kutoka kwa kabaila wao.

영어

in china, there have been incidents of foreigners being refused rooms by hotel staff, and foreign residents, particularly black people, being kicked out of their apartments on short notice by their landlords.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

majukumu kutunza mtoto (kutoa chakula , kubadilisha , bathing , kucheza ) vyumba safi kila siku na kubadilisha karatasi za kitanda safisha bafuni kila siku wakati wowote chafu safi jikoni wakati wowote chafu osha sahani mara kwa mara msaada katika kupikia , mfano kukata mboga, matunda, mchele kupikia, kufanya tea kuchemsha vyakula, etc forbidden: usitumie simu wakati wa masaa ya kazi wakati wa masaa ya kazi chumba chako haipaswi kufungwa masaa ya kazi kutoka 8 am hadi 12 am break times breakfast break kutoka (10 am kwa 11 am ) chakula cha jioni b

영어

duties taking care of baby ( giving food , changing , bathing , playing ) clean rooms daily and change bed sheets clean bathroom daily whenever dirty clean kitchen whenever dirty wash dishes regularly help in cooking , example cutting vegetables , fruits , rice cooking , making tea boil foods, etc forbidden: don’t use phone during work hours during work hours your room should not be closed working hours from 8 am to 12 am break times breakfast break from ( 10 am to 11 am ) dinner b

마지막 업데이트: 2023-05-29
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,740,160,405 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인