검색어: wanajaribu (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

wanajaribu

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

huko jijini port au prince, wengine bado wanajaribu kujikusanya.

영어

on the ground in port au prince, others are still collecting themselves.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa utaratibu huu, wanajaribu pia kuepukana na vikwazo vya mitandaoni, tafsiri pamoja na mitazamo ya watu.

영어

in this case as well they try to avoid filters, interpretations and judgments.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi yao wanafanya kazi ya kukusanya misaada na fedha, wakati wengine wanajaribu tu kuionyesha dunia mambo yanavyooendelea nchini haiti.

영어

some are working to gather aid and funds, while others are simply trying to show the world what's happening in haiti.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tangu wakati wa yohane mbatizaji mpaka leo hii, ufalme wa mbinguni unashambuliwa vikali, na watu wakali wanajaribu kuunyakua kwa nguvu.

영어

and from the days of john the baptist until now the kingdom of heaven suffereth violence, and the violent take it by force.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bila ya shaka watu hawa wananyunyuziwa rangi ya waridi ili polisi waweze kuwanyanyapaa na kuwahoji na kuwaonea wakati wanajaribu kuvunja moyo wao wa jukumu la kiraia na uhuru wa kujieleza!

영어

no doubt these people are being sprayed pink so that police can harrass and interrogate them and abuse them in the effort to crush their spirit of civic duty and freedom of expression!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

watu wameingiwa na ukichaa, wanajaribu kukimbilia sehemu ya patroo huku walinzi - akiwemo mmoja aliyejeruhiwa vibaya - wakijaribu kufunga lango lililo nyuma yetu.

영어

madness has taken over the passers-by trying to seek refuge in the patrol while the security guards - including one seriously wounded - shut the gate behind us.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

(wakati makala hii inaandikwa kwa mara ya kwanza ilikuwa) imekuwa zaidi ya saa tano tangu tetemeko hilo litokee, na wajapani wengi bado wanajaribu kurudi nyumbani kwa miguu.

영어

it's been more than 5 hours since the earthquake hit, and many tokyoites are still trying to get home on foot.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hawafanyi hivyo kwa sababu za kitalii, sababu kubwa ni kuwa hawana namna nyingine, ni umasikini, ni kwa sababu wanajaribu kuwatafuta ndugu zao ili waungane nao tena, yawezekana ni baba au mama zao ambao tayari wameshafika marekani.

영어

they don't do it for the sake of adventure, but because most of the times they don't have any more choices, out of poverty; because they are looking to reunite with a relative, maybe their father or mother who is already in the united states.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mnamo novemba 6, rais wa jamhuri ya ki-demokrasia ya kongo, denis sassou-nguesso alijipatia ushindi katika kura ya maoni iliyokuwa iamue ikiwa angeweza kugombea urais kwa mara nyingine, kufuata nyayo za watawala wenzake wa rwanda, burundi na jamhuri ya ki-demokrasia ya kongo (drc), ambapo ma-rais waliodumu madarakani kwa muda mrefu wanajaribu kubadili katiba zao ili kujiongea muda wa kubaki madarakani.

영어

on november 6, the republic of congo's president denis sassou-nguesso claimed victory in a referendum staged to allow him to stand for election once again, anticipating moves by colleagues in rwanda, burundi and the democratic republic of congo (drc), where long-serving presidents are all trying to change constitutions to extend their respective stays in power.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,790,222,204 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인