검색어: wanaojituma (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

lakini sheria nzuri na raia wanaojituma kudai haki zao bado havitoshi; nyenzo pia ni muhimu ili kuwawezesha wanawake sehemu mbalimbali duniani kuchukua hatua ili kuhamasisha uwazi.

영어

but good laws and proactive citizens are not enough; tools are also important to enable women around the world to take action and promote transparency.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tuzo hizo zinalenga kuwatuza watu na mashirika yanayofanya jitihada za dhati kuupa nguvu uandishi wa kiraia ili kuhusika na kujenga jumuiya mtandaoni kuanzia kwa watumiaji wa mtandao wa facebook mpaka watumiaji wa mtandao wa twita na wanablogu wanaojituma.

영어

the awards seek to reward those individuals and organizations that are making a concerted effort to harness the power of social media to engage and build communities online. from avid face-bookers to twitter personalities and passionate bloggers.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kadri makundi kama vile isis/isil/is/fucknutbuggerfucks yanavyoendelea kuandamana kwenye maeneo mengi kama iraq/levant/babylonia/assyria, na shughuli nyingine zenye kutiwa ujasiri wa kipuuzi zinazoendelea duniani kote kwa kuchochewa na matamshi ya kijinga yanayotolewa kwenye mitandao kama you tube na kuhamasisha watu kukatwa vichwa na watu wanaojituma wenyewe kufanya hivyo, mambo yataendelea kuwa magumu kwa waislamu wa kawaida.

영어

as isis/isil/is/fucknutbuggerfucks continue their march across iraq/levant/babylonia/assyria, and enthusiastic nut-jobs around the world get inspired by youtube calls-to-arms and begin cutting heads off on a freelance basis, things are going to get bad for the average muslim.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
8,899,332,369 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인