검색어: wasafirishaji wa mafuta (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

wasafirishaji wa mafuta

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

uhaba wa mafuta umefikia hali mbaya.

영어

the absence of gas is critical.

마지막 업데이트: 2024-01-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hivi mnafahamu kwamba asilimia 70 ya uzalishaji wa mafuta ya sudani yako kusini?

영어

did you know that 70% of sudan's oil production is located in the south.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uchimbaji wa mafuta ni lazima uwanufaishe zaidi watu wa ghana hususan, ni lazima iwe hatua katika kutengeneza ajira.

영어

the drilling of the oil must benefit the people of ghana more especially, it should a step in creating employment.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

aliisihi kampuni hiyo kuwatumia wataalamu wa ghana wanaopatikana na vile vile kuwakinga watu na changamoto zinazoweza kutokea kutokana na uchimbaji wa mafuta.

영어

he urged the company to make use of available ghanaian expertise as well as insulate the people against any challenges that would emanate from the drilling of oil.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waagizaji wa mafuta na serikali za msumbiji na malawi wanalaumiana kuhusu tatizo la mafuta lililoikumba malawi kwa zaidi ya wiki nne mfululizo katika mwezi novemba na disemba.

영어

the fuel importers and governments of malawi and mozambique blamed each other for the fuel crisis that hit malawi for a consecutive four weeks plus in november and december.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kuwa azerbaijan ni utawala wenye utajiri mkubwa wa mafuta, nchi za magharibi zimekuwa makini mno katika majibu yake kwa kitendo hiki kisichokuwa cha kidemokrasia kilichofanywa na serikali ya azeri.

영어

since azerbaijan is an oil-rich fiefdom, the west has treaded carefully in responding to this very undemocratic behavior by the azeri government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nilipokuwa nataka kutoka ndani, mara niliona meza ya kujipodolea ikitikisika, makabati ya jikoni yakitetemeka huku vitu vilivyo ndani vikidondoka chini, wakati huohuo nyumba ilikuwa ikichezacheza utadhani imetengenezwa kwa kitu laini mfano wa mafuta ya mgando.

영어

on my way out, i saw our dresser moving, the kitchen cabinets shake and spit out all sorts of cans, and the house moving as if it was made out of jello.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kampuni ya kifaransa ya utibuji wa maji, ijulikanayo kama veolia, na wasambazaji wakuu wa maji jijini lanzhou, ililiambia shirika la habari la serikali la xinhua kuwa, benzini iliyopo kwenye maji imetoka kwenye viwanda vya uchimbaji na usafishaji wa mafuta ya asili.

영어

french water treatment company veolia, the main water supplier in lanzhou, told state-run xinhua news agency that the polluted water might be caused by local petrochemical companies.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

dr. edward omane buamah, naibu waziri wa mazingira, sayansi na teknolojia, ameona kwamba upatikananji wa mafuta na gesi kwenye mkoa wa magharibi, kumefanya tatizo la ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana kwenye eneo hilo kuwa suala kubwa.

영어

dr. edward omane buamah, deputy minister of environment, science and technology, has observed that the oil and gas find in the western region, has made unemployment among the youth in the area a big issue.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baada ya miaka miwili tangu kuvumbuliwa, nchi hiyo imeanza kujiandaa kwa uzalishaji wa mafuta, lakini majadiliano ya hivi karibuni yanazunguka kwenye maswali: “nani atanufaika na na nini kinaweza kuwa matokeo ya maamuzi yanayofanywa na watawala wa ghana leo?”

영어

after two years since the detection, the country has begun to prepare for oil production, but the current discussion hovers around the questions: “who benefits and what could be the future ramifications of decisions made by ghana’s leaders today?”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanasheria anayeheshimika na mhadhiri kwenye chuo kikuu cha ghana, kitivo cha sheria, dr. raymond atuguba ameonyesha kwa umakini jinsi wanamgambo wa eneno la delta ya naija, wanaojulikana kwa ukorofi wa kulipua mabomba ya mafuta, kuteka watu nyara na kudai dhamana kubwa na kusababisha vurugu kwenye eneo lenye utajiri wa mafuta nchini naijeria wameanza kuingia ghana kwa makundi.

영어

a respected legal practitioner and lecturer at the university of ghana, law faculty, dr. raymond atuguba has chillingly revealed that militants in the niger delta region, notorious for blowing up oil pipes, kidnapping and demanding huge ransoms and causing unrest in the oil rich nigerian region have started tripping to ghana in droves.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,747,914,527 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인