전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
kwa hakika tuliwatuma mitume wetu kwa dalili waziwazi, na tukateremsha kitabu pamoja nao na mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu, na ili mwenyezi mungu amjue anaye mnusuru yeye na mitume wake kwa ghaibu.
assuredly we sent our apostles with evidences, and we sent down with them the book and the balance, that people might observe equity. and we sent down iron wherein is great violence and also advantages unto mankind, and that allah may know him who succoureth him, unseen, and his apostles.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
kwa hakika tuliwatuma mitume wetu kwa dalili waziwazi, na tukateremsha kitabu pamoja nao na mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu, na ili mwenyezi mungu amjue anaye mnusuru yeye na mitume wake kwa ghaibu. hakika mwenyezi mungu ni mwenye nguvu mwenye kushinda.
certainly we sent our apostles with clear arguments, and sent down with them the book and the balance that men may conduct themselves with equity; and we have made the iron, wherein is great violence and advantages to men, and that allah may know who helps him and his apostles in the secret; surely allah is strong, mighty.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질: