검색어: wataalam (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

wataalam

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

wataalam wa elimu ya awali

영어

마지막 업데이트: 2023-12-31
사용 빈도: 3
품질:

스와힐리어

serikali ya myanmar inajiandaa kupeleka jopo la wataalam nchini malasia.

영어

myanmar government is preparing to send a team of special representatives to malaysia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lilianzishwa na madaktari lakini linajumuisha wataalam wengine wenye shughuli mbalimbali.

영어

it was created by doctors but also involves active participation of other professionals from different walks of life.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kikundi cha wataalam ilisema kuwa kila mtu ana haki ya mikakati ya kuokoa maisha na serikali ina jukumu hili.

영어

the expert group stated that everyone is entitled to life-saving interventions and the government holds this responsibility.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

barua imetiwa sahihi na electronic frontier foundation, vía libre, digital rights ngo, miongoni mwa wasomi wengine na wataalam.

영어

the letter is signed by electronic frontier foundation, vía libre, digital rights ngo, among other academics and experts.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mnamo machi, uchina, cuba, na urusi walituma zana za kimatibabu na wataalam kusaidia italia kukabiliana na mkurupuko wa virusi vya korona.

영어

in march, china, cuba and russia sent medical supplies and experts to help italy deal with its coronavirus outbreak.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika kuelezea kuondoshwa kwa uwezekano wa udanganyifu pamoja na kuongezeka kwa bajeti ya kidunia, inaonyesha kuwa sababu ya msingi ni kuongezeka kwa gharama za wataalam katika mashirika ya utafiti.

영어

to explain the reduced room to manoeuvre despite a growing global budget, magistrates recall that the root cause is the increase in personnel costs in research organisations.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

africa festival web ni jukwaa la kubadilishana uzoefu miongoni mwa wataalam, wapenda mtandao na watu wajifunzao mambo mapya kutoka duniani kote, ambako hali ya sasa ya mambo kwenye ukuzaji wa mtandao itajadiliwa.

영어

the africa festival web is a platform for exchanges between experts, web enthusiasts and novices from around the world, where the current state of the affairs in the field of web development will be discussed.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kijana mwenye asili ya zambia, lakini anayeishi uingereza mwenye miaka 15 samkeliso kimbinyi anatengeneza zana za kupiga soga mtandaoni kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano na hivyo kuwa mmoja wa wataalam wadogo zaidi waliobobea na wanaotumiwa na kampuni ya microsoft barani ulaya.

영어

fifteen-year-old samkeliso kimbinyi of zambian origin but based in the united kingdom, is creating a buzz in the information and communication technology (ict) world by becoming one of the youngest microsoft qualified professionals in europe.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mozfest afrika mashariki ni tukio la kila mwaka linalowaleta pamoja wataalam wa elmu, wabunifu, wasomi na mafundi wa afrika mashariki kujaribu kujadili namna ya kujenga mtandao kwa pamoja kwa kuweka msingi wa ukuaji wa mtandao wa intaneti na teknolojia ya habari barani afrika.

영어

mozfest east africa is an annual event that brings together educators, innovators, learners and makers from east africa and beyond to share experiences and build the web together laying a foundation for growth of the internet and information technology in africa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

programu tofauti ya simu za rununu zimetekelezwa au kupendekezwa kwa matumizi ya hiari, na kufikia aprili 7, 2020, zaidi ya vikundi kumi na mbili ya wataalam walikuwa wanaunda suluhisho yanayolinda faragha, kama vile kutumia bluetooth kutuma umbali wa mtumizi na simu za rununu zingine.

영어

various mobile apps have been implemented or proposed for voluntary use, and as of april 7, 2020, over a dozen expert groups were working on privacy-friendly solutions, such as using bluetooth to log a user's proximity to other cellphones.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kampuni ya rwandan telecentre network (rtn) ikishirikiana na jitihada za serikali, imekusudia kujenga mtandao wa kitaifa wa vituo 1,000 vya teknolojia mpanga ifikapo mwaka 2015 na kuendesha mafunzo ya wataalam wa ndani.

영어

rwandan telecentre network (rtn) is rallying with the government's efforts, pledging to create a national network of 1,000 itc centers by the end of 2015 and to train local personnel.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,774,239,007 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인