검색어: zaidi ni jua (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

zaidi ni jua

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

wewe ni jua langu

영어

you make me happy when skies are gray

마지막 업데이트: 2020-07-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

sehemu inayosisimua zaidi ni namna sherehe yenyewe inavyoendeshwa.

영어

the most exciting part is always the build up to the ceremony itself.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

cha kusikitisha zaidi ni jinsi wafanyakazi wa mashirika haya wanavyoadhibiwa namna hii.

영어

what is even more sadder is how the egyptian ngos workers and employees are being punished in this way.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

linaloleta uzito zaidi ni hili: nani atamfikisha mahakamani mwanasiasa huyo kigogo?

영어

even more pressing is this: who will bring that political bigwig to trial?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kinacholeta hofu zaidi ni kwamba wacheza mchezo huo ni watu wa chama chake mwenyewe.

영어

what is most intriguing is that the heaviest hitters are people within his own party.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mantiki ya muhimu zaidi ni hii: anawezaje kuwahakikishia haki wapinzani wake wa kisiasa?

영어

the more important point is this: how can he assure his political opponents of fairness?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na jambo la kutisha zaidi ni kwamba, mfumo huu umetengenezwa na kuendelezwa na binadamu wenywe.

영어

and the most terrible thing is that this system has been created by human beings and is being maintained by human beings too.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jambo la muhimu zaidi ni kuwa wazazi wanashirikiana kwa ukaribu kabisa na viongozi wa dini pamoja na polisi.

영어

the most important thing is that parents are working closely with the clergy and the police.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

bado hawajui kwamba utamaduni wa muhimu zaidi ni ule ulio wa kufanya ukosoaji wa kujenga na kuruhusu fikra huru.

영어

they still don't get it that the most important culture is the culture of constructive criticism and free expression.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jambo la kusisimua zaidi ni jinsi global voices ilivyobadilisha maisha ya wahariri wetu, watu wanaojitolea na jamii pana ya wanachama.

영어

what's even more exciting is the way in which global voices has impacted the lives of our editors, volunteers, and broader community members.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

“hatua ya kuyaita makundi mengi zaidi, ni katika kuliona jambo hili kwa mtazamo mpana zaidi.”

영어

“it’s about seeing the big picture, so we should see a diverse group.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kikubwa zaidi ni jinsi gani intakavyo pokea hayo mabadiliko ya usoni, nini fanye nini kwa wakati na hatua gani nizichukue ili niyapate hayo mabadiliko.

영어

more important is how i will receive that change in the future, what i should do in time and what steps i can take to achieve that change.

마지막 업데이트: 2020-09-23
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kinacholeta wasiwasi zaidi ni kwamba amri hiyo inahoji kwa nini mchakato kama huo wa kuzifunga tovuti/kurasa kama hizo katika siku za usoni usianzishwe.

영어

the most worrying aspect is that the order also asks why the process of shutting down such websites/pages in the future should not be initiated.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uvunjaji huo wa rekodi ulikuwa ni wa kustaajabisha lakini linalosisimua zaidi ni ukweli kwamba bolt alipunguza kasi na kuanza kusherehekea ushindi wake takriban kwenye alama ya mita 80!

영어

the world breaking record was amazing but what was even more fascinating was the fact that bolt slowed down and started to celebrate his victory from approximately the 80m mark!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

matokeo yake, imani potofu zinawafunika vijana kuhusu vvu na magonjwa mengine yanayoenezwa kwa ngono, zaidi ni imani kwamba kuvuta bangi kunazuia maambuzi ya vvu.

영어

hence, many myths abound amongst liberian youth about hiv and other sexually transmitted infections, prominent amongst which is the myth that smoking pot prevents hiv infection.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kinachosikitisha zaidi ni kuwa tukio hili la kihistoria, katika nchi yenye misingi ya mfumo dume, bila shaka halichukuliwi kama ushindi kwa yeyote awateteao wanawake. #izboriprh

영어

one tweet summed up the general sentiment: what is saddest is that this historical event, in a patriarchal state, is probably not seen as a victory by any feminist. #izboriprh

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lililo kubwa zaidi, ni mjuzi aliyebobea na mwanachama anayejitolea vya kutosha kwa familia ya global voices, ambaye tunaamini ataipeleka mbele timu ya uhariri, kwenda inakotakiwa kwenda.

영어

most importantly, she's a highly skilled and deeply committed member of the community, whom we trust will take our editorial section forward, to the places it needs to go.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mahali ambapo hatari za covid-19 haziwezi kukomeshwa, udhibiti zinazofaa zaidi ni za uhandisi, zikifuatiwa na udhibiti za utawala, na mwisho vifaa vya kujikinga kibinafsi.

영어

where covid-19 hazards cannot be eliminated, the most effective controls are engineering controls, followed by administrative controls, and lastly personal protective equipment.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

najisikia kuwa na utulivu wa kiakili na kwa hiyo naweza kufikiri sana - najikuta naweza kupata suluhu kwa karibu kila tatizo au kikwazo kinachonikabili, na kitamu zaidi ni kwamba napata suluhisho zaidi ya moja kwa tatizo fulani.

영어

i feel mentally calm and i can think a lot - i find solutions for any problems or obstacles i face and what is even sweeter is that i find more than one solution.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jambo linalochanganya zaidi ni kwamba hoder alipata umaarufu duniani kote kama mwanablogu anayeongoza huko irani na mwanaharakati wa uhuru wa kujieleza (aliwahi hata kublogu kwa ajili ya global voices kati ya mwaka 2004 na 2005).

영어

confusing in this case, is that hoder gained worldwide notoriety as a leading iranian blogger and free speech activist (even blogging for global voices in 2004 and 2005).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,800,211,514 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인