인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.
전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
kifupishi cha url kutoka google
url summary from google
마지막 업데이트: 2019-12-20
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
na zana za ujenzi
and building tools
마지막 업데이트: 2022-10-28
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
huduma hii ni ya bure kutoka google; malipo ya ubebaji huenda yakawepo.
ubebaji
마지막 업데이트: 2020-12-05
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
zana za kilimo na huko hutumia
farm tools and there uses
마지막 업데이트: 2024-01-30
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
zana za mkononi zinaongezeka nchini.
the number of portable devices in the country is growing.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
zana za kufundishia na kujifunzia kumudu stadi za kisanii
swahili
마지막 업데이트: 2023-01-08
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
iprocure – zana za kuongeza upatikanaji wa huduma vijijini
iprocure – software for optimizing rural supply chains
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
ufafanuzi wa pili unahusiana na nafasi ya zana za mkononi na uunganishaji.
the second explanation is related to the role of mobile devices and connectivity.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
tuwafahamishe watu kupitia zana za vyombo vya habari vya kiraia na njia nyingine.
let's inform people via social media and all other means.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
msumbiji: je, zana za uandishi wa kiraia zimeua blogu?
mozambique: has social media killed blogging? · global voices
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
je uchaguzi warais nchini irani ulibadilisha matumizi ya zana za uanahabari wa kiraia na njia zake?
so did the iranian presidential election change the dynamics of citizen media tools and channels?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
afrika: ujuzi wa matumizi ya zana za habari za kijamii kwa vijana wanaoishi na ulemavu.
africa: social media skills for african youth with disabilities · global voices
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
taasisi kadhaa zimekuwa zikitumia zana za kufuatilia hali za maisha ya watu walio katika hatari ili kufahamu sababu nyuma ya hali hizi.
several organisations have implemented tools to monitor the lives of vulnerable populations in order to clarify the reasons behind it.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kufikia machi, upungufu na viwango duni ya zana za vipimo imekuwa changamoto kwa kupimwa kwa umma eu na uingereza na marekani.
by march, shortages and insufficient amounts of reagent has become a bottleneck for mass testing in the eu and uk and the us.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
upelelezi uliosababisha kukamatwa kwa mtawa huyo ulitokana na kusambazwa kwa picha hiyo ya utupu ya video kwa watu wengi hasa kupitia zana za bluetooth za kwenye simu za mkononi.
the investigation which led to an arrest was followed by an enormous sharing of that nude video via bluetooth from phone to phone.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mnamo machi, uchina, cuba, na urusi walituma zana za kimatibabu na wataalam kusaidia italia kukabiliana na mkurupuko wa virusi vya korona.
in march, china, cuba and russia sent medical supplies and experts to help italy deal with its coronavirus outbreak.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
januari 24, ni siku ambayo inategemewa kuwa ya kuzindua rasmi hadithi, ambalo ni jukwaa la kuhifadhia zana za bure za kitaaluma mjini nairobi, kenya.
on january 24, the official launch of hadithi, a platform for hosting open access academic content will take place in nairobi, kenya.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wanablogu wa bahrain wanaujia juu uamuzi wa waziri wa habari wa nchi hiyo wa kuzuia upatikanaji wa tovuti mbalimbali, kadhalika kuzuia matumizi ya tovuti vivuli zinazoruhusu watumiaji kuperuzi tovuti nyingine zilizozuiwa na zana za kuchuja habari.
bloggers in bahrain are fuming at a decision by the country's minister of information to block access to scores of websites, as well as prevent access to proxy sites which enable surfers to get to sites in a roundabout manner.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kijana mwenye asili ya zambia, lakini anayeishi uingereza mwenye miaka 15 samkeliso kimbinyi anatengeneza zana za kupiga soga mtandaoni kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano na hivyo kuwa mmoja wa wataalam wadogo zaidi waliobobea na wanaotumiwa na kampuni ya microsoft barani ulaya.
fifteen-year-old samkeliso kimbinyi of zambian origin but based in the united kingdom, is creating a buzz in the information and communication technology (ict) world by becoming one of the youngest microsoft qualified professionals in europe.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
anadia niger ina malengo ya kuendeleza mbinu na zana za kutathmini hatari ya mafuriko, kutegemeza mipango kwenye viwango tofauti vya uamuzi, kuzidisha ujasiri wa jamii, na kuendeleza uwezo mkubwa zaidi wa kutabiri na kuitikia.
anadia niger aims to develop methodologies and tools to assess flood risk, to support planning at different decision making levels, to increase the resilience of local communities and to develop a greater capacity for forecasting and response.
마지막 업데이트: 2023-11-14
사용 빈도: 1
품질:
추천인: