검색어: zilizoathiriwa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

zilizoathiriwa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kamishna mkuu wa umoja wa mataifa wa haki za kibinadamu ametaka vikwazo vya kiuchumi kulegezwa kwa mataifa zilizoathiriwa sana na janga hili, pamoja ikiwamo irani.

영어

the un high commissioner for human rights has demanded economic sanctions to be eased for nations most affected by the pandemic, including iran.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nchi zinzoendelea zilizoathiriwa moja kwa moja na mabadiliko ya tabia nchi, zimechukua hatua zinazofanana na hizo kama vile kuzinduliwa hivi karibuni kwa setilaiti ya india ili kujifunza mabadiliko ya tabia nchi.

영어

developing countries impacted most directly by climate change, have taken a similar steps like the recent satellites launch by india to study climate change.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

utalii ni mojawapo wa sekta zilizoathiriwa vibaya na vikwazo vya usafiri, kufungwa kwa sehemu za umma zikiwemo kivutio za usafiri, na mashauri ya serikali dhidi ya usafiri kote duniani.

영어

tourism is one of the worst affected sectors due to travel bans, closing of public places including travel attractions, and advice of governments against any travel all over the world.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya wanafunzi wa uchina katika vyuo vikuu marekani waliungana kusaidia kutuma msaada katika sehemu zilizoathiriwa na virusi uchina, na kikundi ya pamoja katika sehemu kadhaa chicago inasemekana waliweza kutuma barakoa 50,000 za n95 kwa hospitali katika mkoa wa hubei mnamo 30 januari.shirika la msaada wa kibinadamu direct relief, wakishirikiana na fedex, walituma barakoa za uso 200,000 pamoja na vifaa za kujikinga za kibinafsi, zikiwemo glavu na gauni, kupitia ndege ya dharura hadi kwenye hospitali ya muungano wa wuhan kufikia 30 januari.

영어

some chinese students at american universities joined together to help send aid to virus-stricken parts of china, with a joint group in the greater chicago area reportedly managing to send 50,000 n95 masks to hospitals in the hubei province on 30 january.the humanitarian aid organization direct relief, in coordination with fedex, sent 200,000 face masks along with other personal protective equipment, including gloves and gowns, by emergency airlift to the wuhan union hospital by 30 january.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,788,163,538 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인