전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
na wote watamfikia nao ni wanyonge.
tutti torneranno a lui umiliandosi.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
na mwenyezi mungu alikwisha kunusuruni katika badri nanyi mlikuwa wanyonge.
allah già vi soccorse a badr, mentre eravate deboli.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
lakini mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake tito.
ma dio che consola gli afflitti ci ha consolati con la venuta di tito
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
tulipokuwa bado wanyonge, kristo, wakati ulipotimia, alikufa kwa ajili yetu sisi waovu.
infatti, mentre noi eravamo ancora peccatori, cristo morì per gli empi nel tempo stabilito
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
akasema: hakika wafalme wanapo uingia mji wanauharibu, na wanawafanya wale watukufu wake kuwa wanyonge.
disse: “in verità, quando i re penetrano in una città, la saccheggiano e riducono in miseria i più nobili dei suoi abitanti.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
walio takabari watawaambia wanyonge: kwani sisi ndio tulio kuzuieni na uwongofu baada ya kukujieni?
e quelli che erano tronfi d'orgoglio diranno a coloro che consideravano deboli: “vi abbiamo forse impedito [di seguire] la retta via dopo che essa vi giunse?
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
isipo kuwa wale walio kuwa wanyonge miongoni mwa wanaume na wanawake na watoto wasio na uweza wa hila ya kuongoza njia ya kuhama.
eccezion fatta per gli oppressi, uomini, donne e bambini sprovvisti di ogni mezzo, che non hanno trovato via alcuna;
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
ndugu, tunawahimizeni muwaonye watu walio wavivu, muwatie moyo watu wanyonge, muwasaidie watu dhaifu, muwe na subira kwa wote.
vi esortiamo, fratelli: correggete gli indisciplinati, confortate i pusillanimi, sostenete i deboli, siate pazienti con tutti
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
na wachelee wale ambao lau kuwa na wao wangeli acha nyuma yao watoto wanyonge wangeli wakhofia. basi nao wamche mwenyezi mungu, na waseme maneno yaliyo sawa.
e coloro che temono di lasciare una posterità senza risorse, temano allah e parlino rettamente.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
hapana lawama kwa wanyonge, wagonjwa, na wasio pata cha kutumia, maadamu wanamsafia niya mwenyezi mungu na mtume wake. hapana njia ya kuwalaumu wanao fanya wema.
non saranno ritenuti colpevoli i deboli, i malati e coloro che non dispongono di mezzi, a condizione che siano sinceri con allah e col suo messaggero: nessun rimprovero per coloro che fanno il bene.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
na watapo hojiana huko motoni, wanyonge watawaambia walio jitukuza: hakika sisi tulikuwa wafuasi wenu, basi je, hamtuondolei sehemu ya huu moto?
e quando [i dannati] disputeranno tra loro nel fuoco, diranno i deboli a coloro che erano superbi: “noi vi seguivamo, potresti darci un po' di riparo da [questo] fuoco?”.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
na kumbukeni mlipo kuwa wachache, mkionekana wanyonge katika nchi, mnaogopa watu wasikunyakueni, naye akakupeni pahala pazuri pa kukaa, na akakutieni nguvu kwa nusura yake, na akakupeni riziki nzuri ili mpate kushukuru.
ricordate quando eravate pochi, oppressi sulla terra e timorosi che gli altri si impadronissero di voi! poi vi diede sicurezza e vi soccorse con il suo aiuto e vi dette cibo eccellente. sarete mai riconoscenti?
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
je! yupo mmoja wenu anaye penda kuwa na kitalu cha mitende na mizabibu ipitayo mito kati yake, naye humo hupata mazao ya kila namna, na uzee ukamfikia naye hali ana watoto wanyonge, kikapigwa na kimbunga chenye moto, kikaungua?
chi di voi vorrebbe possedere un giardino di palme e vigne, dove scorrono i ruscelli e dove crescono per lui ogni specie di frutti e, colto dalla vecchiaia con i figli ancora piccoli, [vorrebbe vedere] un uragano di fuoco investirlo e bruciarlo?
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질: