검색어: atey high school (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

atey high school

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

oloolaiser high school

스와힐리어

na shule

마지막 업데이트: 2023-02-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

natural power high school energy 300 ml

스와힐리어

asili power haute energie school 300 ml

마지막 업데이트: 2017-10-16
사용 빈도: 3
품질:

추천인: 익명

영어

started my elementary education in high school.

스와힐리어

na kuhitimu elimu yangu ya sekondari katika shule ya kidete

마지막 업데이트: 2024-05-12
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

letters of recommendation from high school to scholarship

스와힐리어

barua za mapendekezo kutoka shule ya sekondari kwenda kwenye elimu

마지막 업데이트: 2017-10-02
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

his hard work and favor from the teachers saw him through high school.

스와힐리어

kusoma kwake kwa bidii na kupendwa kwake na walimu kulimuwezesha kusoma elimu ya upili.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

afghanistan: high school student discovers math formula · global voices

스와힐리어

afghanistan: mwanafunzi wa sekondari agundua kanuni ya hisabati

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a study conducted by the polytechnic national high school of yaounde outlined that:

스와힐리어

utafiti uliofanywa na shule ya sekondari ya ufundi ya younde ulibainisha kwamba:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the term balik cina was first popularized by the principal of a shah alam high school in july 2013.

스와힐리어

neno balik cina lilikuzwa na mkuu wa shule ya sekondari ya shah alam mwezi julai 2013.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

wickremer expects a diverse group to attend, from high school students to artists to senior managers.

스와힐리어

wickremer anatarajia makundi mbalimbali kushiriki, kuanzia wanafunzi wa sekondari hadi wasanii na mameneja waandamizi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

goche lamine, a medical merchant, was caught with a high school student named sanda, aged 17.

스와힐리어

goche lamine, mfanyabiashara wa madawa, alikamatwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari aitwaye sanda, mwenye umri wa miaka 17.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

admission points are calculated for each high school student on the basis of their grades, final exams and other obtained qualifications.

스와힐리어

alama za udahili zinakokotolewa kwa kila mwanafunzi wa shule ya sekondari kwa kuzingatia ngazi ya mwanafunzi ya ufaulu, mitihani ya mwisho pamoja na vigezo vingine.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

here a man without high school education worked hard as a bus conductor to read a few a level courses which he later admitted to have flanked.

스와힐리어

huyu ni mtu asiyekuwa na elimu ya juu ya sekondari aliyefanya kazi kwa bidii ili kuweza kusoma kozi chache za cha daraja a ambazo baadaye alikubali kuwa aliziacha kando.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

he founded and owns covenant university, one of nigeria’s leading tertiary institutions, and faith academy, an elite high school.

스와힐리어

alianzisha na anamiliki chuo kikuu cha covenant, mmoja ya taasisi za elimu ya juu zinazoongoza nchini naijeria, na shule ya sekondari ya kitajiri ya faith academy.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a south korean ferry heading to a resort island sank on april 16, 2014 with hundreds of passengers, including 325 high school students, on board.

스와힐리어

feri ya korea kusini iliyokuwa inaelekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama mnamo aprili 16, 2014 na mamia ya abiria, ikiwa ni pamoja na wanafunzi 325 wa shule ya sekondari waliokuwemo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

sovichet tep, a high school student and one of the country's youngest bloggers, also noticed the growing importance of social media in the country:

스와힐리어

sovichet tep, ambaye ni mwanafunzi wa shule ya upili na miongoni mwa wanablogu wadogo kabisa nchini cambodia, pia, aligundua hali ya kuongezeka kwa umuhimu wa uanahabari wa kijamii nchini mwake:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

one cannot see how a christian brother can support sex education for elementary and high school students considering that many in the catholic church believe that exposing students to learning about sex and sexuality will surely lead to unwanted pregnancies.

스와힐리어

hatuwezi kutarajia mtawa wa kikristu akaruhusu ufundishwaji wa elimu ya ngono kwa watoto wadogo na wanafunzi wa sekondari ukichukulia kuwa wengi katika kanisa katoliki wanaamini kuwa masomo ya kuhusiana na ngono na uzazi yataleta mamba zisizotarajiwa kwa wanafunzi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

i made friends with two high school teachers and we discussed (in swahili!) the election, the history of tanzania, and the platforms and promises of various parties and candidates.

스와힐리어

nilijikuta nikipata marafiki wawili ambao ni walimu wa shule za sekondari na tulijadiliana (kwa kiswahili!) kuhusu uchaguzi, historia ya tanzania, na majukwaa na ahadi za vyama na wagombea mbalimbali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

while almost seven million college graduates are entering the job market, only nine million new jobs have been created, and college graduates must compete with returning students from abroad, as well as high school graduates and trade school graduates.

스와힐리어

wakati takribani wahitimu wa vyuo milioni saba wanaingia katika soko la ajira, ajira mpya milioni tisa tu ndizo zilizoandaliwa, na wahitimu wa vyuo vya china ni lazima wagombee ajira pamoja na wanafunzi wanaorejea kutoka nchi za nje walikokwenda kusoma na pia wahitimu wa shule za upili na wale wa vyuo vya ufundi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the teenager, better known as sam, is a year 10 (high school level) student at the university technical college (utc) in reading, a town just outside london.

스와힐리어

kijana huyo mdogo, anayefahamika zaidi kwa jina la sam, mwanafunzi wa darasa la 10 (sawa na sekondari ya juu) kwenye chuo cha teknolojia (utc) huko reading, mji ulioko nje kidogo ya london.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

in 2014 i was in the sixth grade in the elementary school manzese i was in the seventh grade in 2015 and started secondary education in 2016 the high school principal and graduate in 2019 it is also the second child born we are in the third for the mother sister,me and my youngest have been married to my mother on the father's side i don't know how many baby we are in manyin english

스와힐리어

mwaka 2014 nilikuwa darasa la sita katika shule ya msingi manzese nili hitimu darasa la saba mwaka 2015 na kuanza elimu ya sekondari mwaka 2016 shule ya mkuu sekondari na kuhitimu mwaka 2019 pia ni mtoto wa pili kuzaliwa tupo watatu kwa mama wa kwanza kuzaliwa ni dada,mimi na mdogo wangu wakiume na mama yangu upande wa baba sijui ni mtoto wangapi tupo watoto wengi english

마지막 업데이트: 2022-10-01
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,791,998,064 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인