검색어: automatically (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

on instagram, they automatically erased an image that was reported.

스와힐리어

kwenye mtandao wa instagram, picha yoyote inayolalamikiwa hufutwa mara moja.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

help make product_name to send usage statistics and crash reports to google automatically

스와힐리어

maelezo yafuate income statement

마지막 업데이트: 2015-09-16
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

kabila is barred by the constitution from seeking a third term, however his term would be automatically prolonged until the census is completed.

스와힐리어

kabila anazuiwa na katiba ya nchi hiyo kugombea kwa kipindi cha tatu, ingawa kwa kampeni ya sasa itabidi andelee kutawala mpaka sensa itakapokamilika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

some people say home is where your bed is, others argue that home is where your wifi connects automatically. i can say that home is where your salaries have been transferred to

스와힐리어

baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa nyumbani ni pale unapoweza kupata mtandao huru wa intaneti. naweza kusema kuwa nyumbani ni pale ambapo mishahara yako imehamishiwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

as the name implies, the status is temporary and does not automatically qualify an individual for permanent residency (green card) or citizenship.

스와힐리어

kama inavyooneshwa na muda wa hifadhi hiyo, utaratibu huo ni jambo la muda tu na haiwezi kubadilika kumfanya mtu awe na sifa za kupata ukaazi wa kudumu (kupitia mpango wa kadi ya kijani) au hata kuwa raia wa marekani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

why can't we see the number of tasks we have ?? also winback 2 and 3 tasks are automatically downloaded and assigned to another agent within 15 days and the number of task looks great bt a large percentage is cancelled this task?

스와힐리어

mbona hatuwezi ona idadi ya tasks tulizonazo?? pia task za winback 2 na 3 zinajicancel nakuwa assigned kwa agent mwingine before 15 days na idadi ya task inaonekana kubwa bt asilimia kubwa ni cancelled task hii inakuaje??

마지막 업데이트: 2020-03-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

“when students share the toilets with the teacher, they (students) will believe that they are on par with academicians and this automatically invokes a sense of being important to an organisation, which, in this case, is the school,” says state education, higher learning, human resource, science and technology committee chairman ahmad razif abd rahman in local daily the star.

스와힐리어

“pale wanafunzi wanapochangia msala na mwalimu, wataamini (wanafunzi) kwamba wako sawa na wanataaluma na hii moja kwa moja huamsha hisia za kujichukulia kuwa na umuhimu katika taasisi, ambako, kwa mukhtadha huu, ni shule,” anasema mwenyekiti wa kamati ya elimu, elimu ya juu, rasilimali watu, sayansi na teknolojia wa jimbo hilo, ahmad razif abd rahman katika gazeti la mahali hapo la the star.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
9,199,208,741 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인