전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
what i do know though is that this abusive, violent, murderous behaviour towards indians in this country is far too prevalent to suggest that we do not have a problem with racism in this country.
jambo ninalofahamu hata hivyo ni kuwa tabia hii ya utesi, ya ghasia, na ya kiuaji kwa wahindi katika nchi hii imekuwa ya kawaida mno kusema kuwa hatuna tatizo na ubaguzi wa rangi katika nchi hii.
a bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach;
basi, kiongozi wa kanisa anapaswa awe mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha;
immunity is seen as likely, based on the behaviour of other coronaviruses, but cases in which recovery from covid-19 have been followed by positive tests for coronavirus at a later date have been reported.
kinga huonekana kama na uwezekano, kulingana na tabia ya virusi vingine vya korona, lakini kuna ripoti ya matukio ambayo watu wamepona covid-19 na yameambatana na vipimo chanya vya virusi vya korona katika siku za baadaye.
just think how the filth, squalor, violent ape-like behaviour and deafening racket this thing produces will be beamed into 500 million white western homes, for all the world to see.
hebu fikiri namna uchafu unaokinaisha, ufukara uliokithiri, tabia za fujo za kinyani nyani na kele zilizokithiri zinazoletwa na hili dude; yote yatasafirishwa mpaka kwenye nyumba milioni 500 za wazungu wa magharibi, huku dunia nzima ikishuhudia.
a study of hand washing in 54 countries in 2015 found that on average, 38.7% of households practiced hand washing with soap.a 2014 study showed that saudi arabia had the highest rate of 97 percent; the united states near the middle with 77 percent; and china with the lowest rate of 23 percent.several behaviour change methodologies now exist to increase uptake of the behaviour of hand washing with soap at the critical times.group hand washing for school children at set times of the day is one option in developing countries to engrain hand washing in children's behaviors.
utafiti wa kuosha mikono katika nchi 54 mnamo 2015 ulitambua kuwa kwa wastani, 38.7% ya nyumba walikuwa wanaosha mikono yao kwa sabuni. utafiti wa 2014 ulionyesha kuwa saudi arabia ilikuwa na kiwango cha juu zaidi cha asilimia 97; marekani karibu katikati na asilimia 77; na uchina na kiwango cha chini zaidi cha asilimia 23.mbinu kadhaa za kubadilisha tabia zipo kwa sasa ili kuongeza tabia ya kuosha mikono kwa sabuni katika nyakati hizi za hatari.kuosha kwa mikono kwa vikundi kwa watoto wa shule katika masaa ya siku yaliyoratibiwa ni mojawapo ya mbinu katika nchi zinazoendelea ili kuwafunza na kuwakumbusha watoto kuwa na tabia ya kuosha mikono yao.