전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
now philip was of bethsaida, the city of andrew and peter.
filipo alikuwa mwenyeji wa bethsaida, mji wa akina andrea na petro.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
and he cometh to bethsaida; and they bring a blind man unto him, and besought him to touch him.
yesu alifika bethsaida pamoja na wanafunzi wake. huko watu wakamletea kipofu mmoja, wakamwomba amguse.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
and straightway he constrained his disciples to get into the ship, and to go to the other side before unto bethsaida, while he sent away the people.
mara yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie kwenda bethsaida, ng'ambo ya ziwa, wakati yeye anauaga umati wa watu.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
the same came therefore to philip, which was of bethsaida of galilee, and desired him, saying, sir, we would see jesus.
hao walimwendea filipo, mwenyeji wa bethsaida katika galilaya, wakasema, "mheshimiwa, tunataka kumwona yesu."
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
and the apostles, when they were returned, told him all that they had done. and he took them, and went aside privately into a desert place belonging to the city called bethsaida.
wale mitume waliporudi, walimweleza yote waliyoyafanya. yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini bethsaida.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
woe unto thee, chorazin! woe unto thee, bethsaida! for if the mighty works had been done in tyre and sidon, which have been done in you, they had a great while ago repented, sitting in sackcloth and ashes.
"ole wako korazini! ole wako bethsaida! maana, kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika kule tiro na sidoni, watu wake wangalikwishavaa mavazi ya gunia kitambo, na kukaa katika majivu kuonyesha kwamba wametubu.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다