전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
criticized
kashifu
마지막 업데이트: 2013-07-05
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
journalist iryna slavinska criticized the proposal :
mwandishi wa habari, iryna slavinska aliukosoa mswada huu :
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
another weibo user from kunming criticized the media censorship:
mtumiaji mwingine wa weibo anayeisha kunming alikosoa vikali hatua ya kudhibiti vyombo vya habari:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
others criticized the lack of transparency on procedures of government ministries.
wengine walikosoa kukosekana kwa uwazi kwa yale yanayofanywa na wizara za serikali.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
in his final post he criticized ali larijani, head of the iranian parliament.
katika makala yake ya mwisho, alimkosoa ali larijani, kiongozi wa bunge la iran.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
blogger mohammad munim criticized the commission on muktangon, a community blog:
mwanablogu mohammad munim aliipinga vikali tume hii kwenye blogu ijulikanayo kama muktangon, ambayo ni blogu ya jamii:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
blogger parsifal pontes also criticized the issuing of diplomatic passports by emphasizing:
mwanablogu parsifal pontes vilevile alikosoa utoaji huo wa pasipoti za kidiplomasia kwa kusisitiza:
마지막 업데이트: 2024-04-11
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
he also criticized the opposition party for failing to provide a clear political agenda:
alikosoa chama cha upinzani kwa kushindwa kuleta aganda za kisiasa zinazoeleweka:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
in kyiv, president poroshenko blamed rebels in the east and criticized russia for destabilizing the border.
jijini kyiv, rais poroshenko aliwalaumu waasi mashariki mwa nchi hiyo na kuishambulia urusi kwa kufanya hali ya mpaka iwe tete.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
the kony 2012 campaign has been criticized by many ugandans who argue that the video oversimplifies the conflict in northern uganda.
kampeni ya kony 2012 imekosolewa vikali na wa-ganda wengi wanaodai kwamba video hiyo inarahisisha mno mgogoro huo wa kaskazini mwa uganda.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
on the other hand, more reflective comments criticized the discrimination against african people in chinese gold mining business in ghana.
kwa upande mwingine, maoni yaliyotokana na tukio hilo yaliukosoa unyanyasaji unaofanywa dhidi ya watu wa afrika katika biashara ya madini ya dhahabu inayosimamiwa na china nchini ghana.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
in the past hogan publicly criticized former president thabo mbeki's stance and policies on hiv/aids.
siku za nyuma hogan alipata kumkosoa waziwazi rais wa zamani thabo mbeki na msimamo wake juu ya sera ya vvu na ukimwi.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
human rights organizations have criticized some of these measures, asking the governments not to use the pandemic as a cover to introduce invasive digital surveillance.
mashirika ya haki za kibinadamu yamekosoa baadhi ya hatu hizo, yakiwauliza serikali isitumie ugonjwa huo kama kisetiri cha kuanzisha uchunguzi wa kuingilia kwa njia ya kidijitali.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
in early march, the italian government criticized the european union's lack of solidarity with coronavirus-affected italy.
mwanzoni wa machi, serikali ya italia ililaumu ukosefu wa ushikamano wa umoja wa ulaya na nchi iliyoathirika na virusi vya korona virus ya italia.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
as quoted in a hangyoreh news article, woman rights organizations and especially young unmarried women, have criticized the decision as making the sale of conventional contraceptives extra inconvenient.
kama ilivyokaririwa katika gazeti la hangyoreh mashirika ya kutetea haki za wanawake na haswa wanawake vijana ambao hawajaolewa, yamekwishapinga uamuzi huu kwa kuwa gharama za dawa za kuzuia mimba zilizopendekezwa haziendani na hali halisi.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
activist leader nato reyes criticized the government for stopping various groups from trying to tell the pope about the philippines' "real situation":
kiongozi wa wanaharakati hao nato reyes aliikosoa vikali serikali kwa kuyazuia makundi mbalimbali yaliyotaka kujaribu kumweleza papa kuhusu "hali halisi" ya mambo nchini ufilipino. :
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
some u.s. officials and commentators criticized the u.s. reliance on importation of critical materials, including essential medical supplies, from china.
baadhi ya maafisa wa marekani na watoa maoni walisuta hatua ya marekani ya kutegemea ununuzi wa bidhaa muhimu, ikiwa ni pamoja na bidhaa muhimu za kimatibabu kutoka china.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
fox news, often criticized for its bias on issues related to immigration and conservative politics, is reportedly calling for the "screening of muslims" in the army.
fox news, ambayo mara nyingi hukosolewa kwa kuelemea kwake upande mmoja katika masuala yanayohusiana na uhamiaji na siasa mgando, inasemekana kuitisha wazo la "uchunguzi kwa waislamu" walio jeshini.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
a media and wiretapping bill that was under consideration by the italian parliament for two years (harshly criticized by the united nations) would have introduced a "gag rule" by restricting journalists from publishing wiretapping records during investigations, possibly in the public interest.
muswada wa sheria ya vyombo vya habari na usikilizaji mawasiliano kwa siri ambao ulikuwa ukifikiriwa kujadiliwa na bunge la italia kwa muda wa miaka miwili sasa (na ambao ulikosolewa vibaya sana na umoja wa kimataifa) inasemekana ungeanzisha kile kinachoitwa "sheria kabaji" ambayo ingewazuia waandishi wa habari kuchapisha rekodi walizonasa kwa siri za mawasiliano wakati wakifanya uchunguzi, hasa kwa lengo la manufaa ya umma.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다