검색어: decent (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

decent

스와힐리어

maadili

마지막 업데이트: 2013-11-13
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

that is more decent for them.

스와힐리어

hili ni takaso bora kwao.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

afterwards, you will be decent people.”

스와힐리어

na baada ya haya mtakuwa watu wema.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

"how else? - one has to bid a decent human farewell..."

스와힐리어

“je, tungefanyaje? - ni muhimu kushiriki katika kumuaga binadamu mwenzenu kwa njia inayofaa …”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

that will be more decent and purer for you, and allah knows and you do not know.

스와힐리어

hayo ni bora zaidi kwenu na safi kabisa. na mwenyezi mungu anajua, lakini nyinyi hamjui.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

the doctrine teaches me to how to live life as a human and it all sounds very decent to me.

스와힐리어

mafundisho ya dini yananielekeza namna ya kuishi kama binadamu na kwangu hilo linafaa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

it is most decent and pure for you to desist from this; allah knows and you do not know.

스와힐리어

hayo ni bora zaidi kwenu na safi kabisa. na mwenyezi mungu anajua, lakini nyinyi hamjui.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

filipino activists are worried that the cybercrime bill would now make it unlawful to publish or upload materials that contradict the official state interpretation of what is decent, moral, and proper.

스와힐리어

wanaharakati wa kifilipino wana mashaka kuwa muswaada wa uhalifu wa mtandaoni sasa unaweza kufanya kuwa kinyume cha sheria kuchapisha au kupakia maudhui yaliyo kinyume cha tafsiri ya serikali ya vitu vyenye heshima, maadili na sawa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

lastly, there are no major homegrown web-based social networks in ghana, and like many other countries across africa facebook has a decent amount of penetration.

스와힐리어

mwisho, hakuna mtandao wa kijamii ulioazaliwa nchini ghana, na kama ilivyo kwa nchi nyingine kote afrika, facebook imeweza kusambaa kwa kiwango kizuri.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

organizers of the event, 8th of september and the macedonian platform against poverty, are demanding a change in social welfare laws to provide decent basic income for macedonia's poorest citizens.

스와힐리어

waandaaji wa tukio hilo, septemba 8 na jukwaa la macedonia kupinga umasikini, wanadai mabadiliko katika sheria za ustawi wa jamii ili kuwapatia kipato cha kumudu maisha raia wa macedonia waliomasikini kabisa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

on the other hand, the good news is that many flights are cheaper than usual due to decreased demand, and there's a decent chance you'll get an empty seat next to you.

스와힐리어

upande mwingine, habari njema ni kwamba ndege nyingi ni za bei nafuu zaidi ya kawaida kwa sababu ya upungufu wa abiria, na kuna uwezekano mkubwa utapata viti tup kando yako.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

then when their waiting term expires, they are free to do whatever they choose for themselves, provided that it is decent; you shall not be answerable for this; allah is fully aware of what you do.

스와힐리어

na wanapo timiza eda yao basi hapana ubaya kwao kwa wanao jifanyia kwa mujibu wa ada. na mwenyezi mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

and there is no sin on you if you propose marriage to women while they are hidden from your view, or hide it in your hearts; allah knows that you will now remember them, but do not make secret pacts with women except by decent words recognised by islamic law; and do not consummate the marriage until the written command reaches its completion; know well that allah knows what is in your hearts, therefore fear him; and know well that allah is oft forgiving, most forbearing.

스와힐리어

wala si vibaya kwenu katika kupeleka posa kwa ishara tu kwa wanawake waliomo edani au mkadhamiria katika nyoyo zenu. mwenyezi mungu anajua kwamba nyinyi mtawakumbuka.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

인적 기여로
7,745,579,301 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인