전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
one of the steps outlined in a detailed timetable is the drafting of a new constitution.
miongoni mwa hatua zilizobainishwa katika ratiba changanuzi ni kuandaa muswada wa katiba mpya.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
knowing the balance of the political forces in the country, changing the government, changing the president, drafting a constitution
ni kujua uwiano wa nguvu za kisiasa katika nchi hii, kubadilisha serikali, kubadilisha rais, kutunga katiba basi
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
that specific analysis was followed by several proposals from the parliament member mariela castro espín, who was the spokesperson with a set of approaches from workers and activists as part of the public consultation process of the drafting of the law.
uchambuzi huo mahususi ulifuatiwa na mapandekezo kadhaa kutoka kwa mbunge mariela castro espín, ambaye ni msemaji anayekutana na wafanyakazi na wanaharaki kama sehemu ya mchakato wa wazi wa ushauri wa kiutaalamu wa muswada wa sheria.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
in october 2011, tunisians elected a national constituent assembly (nca) tasked with drafting a new constitution after the ousting of dictator zeine el abidin ben ali.
mwezi oktoba 2011, watunisia walipiga kura kuchagua bunge la katiba la taifa (nca) ambalo lilipewa jukumu la kutunga katiba mpya baada ya kung'olewa madarakani kwa dikteta zeine el abidin ben ali.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
the canadian government supposedly released an angry statement today, denouncing a spoof that supposedly made it as far as the wall street journal claiming that canada had shifted its policy and would be agreeing to greenhouse gas reduction targets and drafting a plan for a climate adaptation fund for developing nations.
serikali ya canada inasemekana imetoa tamko la jazba leo, ikikanusha upotoshaji wa habari zinazodaiwa kufanywa nayo kwa mujibu wa jarida la wall street likidai kwamba canada imebadili sera yake na itakuwa ikikubaliana na malengo ya kupunguza hewa ya ukaa na kutengeneza mpango kwa ajili ya mfuko wa kukabiliana na tabianchi kwa nchi zinazoendelea.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: