검색어: enhance (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

enhance

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

whoever performs a good deed, we shall enhance its goodness for him.

스와힐리어

na anaye fanya wema tutamzidishia wema.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

so that he may pay them their full reward and enhance them out of his bounty.

스와힐리어

ili yeye awalipe ujira wao kwa ukamilifu, na awazidishie kutokana na fadhila zake.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

additionally, we will test if we can obtain these all from virology practices to enhance the yield.

스와힐리어

vilevile, tunajaribu ikiwa tunaweza kupata haya yote kutoka kwenye huduma za kivairolojia ili kuboresha matokeo.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

in this post we are looking at how nigerians are using technology to enhance electoral transparency, political participation and good governance.

스와힐리어

katika makala hii tunatazama namna wanaijeria wanavyotumia teknolojia kuwezesha uwazi katika uchaguzi, ushirikishwaji wa kisiasa na utawala bora.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

as for those who have faith and do righteous deeds, he will pay them in full their rewards, and he will enhance them out of his grace.

스와힐리어

na ama walio amini na wakatenda mema atawalipa ujira wao sawa sawa, na atawazidishia kwa fadhila yake.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

so that allah may reward them by the best of what they have done, and enhance them out of his grace, and allah provides for whomever he wishes without any reckoning.

스와힐리어

ili mwenyezi mungu awalipe bora ya waliyo yatenda, na awazidishie katika fadhila zake. na mwenyezi mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

whoever desires the tillage of the hereafter, we will enhance for him his tillage, and whoever desires the tillage of the world, we will give it to him, but he will have no share in the hereafter.

스와힐리어

mwenye kutaka mavuno ya akhera tutamzidishia katika mavuno yake, na mwenye kutaka mavuno ya duniani tutampa katika hayo, lakini katika akhera hana fungu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

create communities and enhance connection: create communities of teachers, parents, and school managers to address sense of loneliness or helplessness, facilitate sharing of experience and discussion on coping strategies when facing learning difficulties.

스와힐리어

tunga jamii na kuimarisha uhusiano: tunga jamii ya walimu, wazazi, na wasimamizi wa shule kushughulikia hali ya upweke na kutojiweza, wezesha kutoa kwa visa na kuzungumza kuhusu mbinu za kuvumilia unapopata matatizo ya kujifunza.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

스와힐리어

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,747,397,822 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인