검색어: feminist (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

feminist

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

in feminist school we read that "tajrish sq.

스와힐리어

kwenye feminist school tunasoma kwamba “tajrish sq.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

saba vasefi also captured this movement in action on feminist school.

스와힐리어

saaba vasefi pia alilinasa kundi hili likiwa kwenye harakati kwenye feminist school.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

park bong (@jayparkbong), member of a feminist organization, tweeted :

스와힐리어

park bong (@jayparkbong),mwanachama wa shirika la kutetea haki za wanawake, alituma ujumbe :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

playwright aizzah fatima plays a character she calls a "hijabi feminist."

스와힐리어

mwandishi wa michezo ya kuigiza aizzah fatima aliigiza uhusika anaouita "mwanaharakati haki za wanawake anayevaa hijabi."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

we already know how these feminist surveys work, if you argue over the tv remote it's considered macho violence

스와힐리어

sisi tayari tunajua jinsi tafiti hizi za masuala ya kijinsia zinavyofanya kazi, mkibishana kidogo na mpenzi wako kuhusu "rimoti" ya televisheni hiyo inatosha kuchukuliwa kuwa udhalilishaji wa kijinsia

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

amárilis pagán (@amarilispagan), feminist lawyer and lgbt advocate, expressed her frustration with the process:

스와힐리어

amárilis pagán (@amarilispagan), mwanasheria wa kutetea haki za mashoga (lgbt), alionyesha kusikitishwa kwake na mchakato huo:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

being a feminist south african, jennifer thorpe noted that the environment she lives in affects women’s lives most tangibly.

스와힐리어

akiwa mtetezi wa haki za wanawake wa ki-afrika kusini, jennifer thorpe alibaini kwamba mazingira anayoiishi yanaathiri sana maisha ya wanawake kwa kiasi kikubwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

maryam majd has published several photos on feminist school about "women’s independent presence in the electoral space."

스와힐리어

maryam majd alichapisha picha kadhaa kwenye ukurasa wa feminist school (shule ya haki za wanawake) kuhusu “uwepo huru wa wanawake katika anga ya uchaguzi.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

as a radical muslim feminist i know my rights as a wife, which are to be fed, sheltered, clothed, and cared for in a way befitting to me.

스와힐리어

nikiwa kama mwanamke wa kiislamu mwenye siasa kali ninatambua haki zangu kama mke, ambazo ni kulishwa, kutunzwa katika makazi, kuvishwa na kuenziwa kwa hali inayonipasa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

one tweet summed up the general sentiment: what is saddest is that this historical event, in a patriarchal state, is probably not seen as a victory by any feminist. #izboriprh

스와힐리어

kinachosikitisha zaidi ni kuwa tukio hili la kihistoria, katika nchi yenye misingi ya mfumo dume, bila shaka halichukuliwi kama ushindi kwa yeyote awateteao wanawake. #izboriprh

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

"i wanted to portray muslim women, especially women who cover their hair, the way i know them to be, as activists and feminists and very outspoken go-getters."

스와힐리어

"nilitaka kumwonesha mwanamke wa kiislamu, hususani wanawake wanaofunika nywele zao, kwa namna ninavyowafahamu, wanaharakati na watetezi wa haki za wanawake na wapaza sauti wakubwa wa kushinikiza mambo."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,726,673,034 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인