검색어: footage (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

footage

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

we simply do not have visual or audio footage to go with the photos.

스와힐리어

ni kwamba hatuna rekodi ya sauti wala video zinazothibitisha picha hizo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

after they have done their work, the footage would be sent back to the newsroom.

스와힐리어

baada ya kufanya kazi yao, video zao hutumwa kwenye vyumba vya habari.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

police pushed and shoved journalists, with one officer even confiscating a camera to scrub the footage himself.

스와힐리어

polisi waliwasukuma na kuwaburuza waandishi, huku afisa mmoja akifikia hatua ya kuichukua kamera na kufuta kipande cha video yeye mwenyewe.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

this video also uses footage from other shows on the us elections 2008, but this time concentrating on the foreign perspective.

스와힐리어

video hii pia inatumia vipande vya video vinavyoonyesha uchaguzi wa marekani 2008, lakini hasa vile vinavyokazia mtazamo wa kigeni.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

footage of the rescue soon made its way online, where it has attracted more than 77,000 views in less than 48 hours.

스와힐리어

picha za uokozi kwa haraka zilipata umaarufu katika mitandao ya kijamii, ambapo kwa chini ya masaa 48, zilikwisha kutazamwa na watu zaidi ya 77,000.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

they are showing old footage from an empty tahrir and saying it was taken a short while ago and they are airing the scenes for hours.

스와힐리어

wanaonyesha picha za video zilizopigwa zamani kutoka kwenye viwanja vya tahrir na kusema eti zimepigwa muda mfupi uliopita na kuzirudia rudia kwa masaa kadhaa hewani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the first footage of the plane crash are now available thanks to a burkinabe soldier present on the site of the wreck near gossi, in northern mali.

스와힐리어

kipande cha kwanza cha video cha ajali ya ndege sasa kinapatikana. tunamshukuru mwanajeshi wa burkina faso aliyekuwa eneo la tukio la ajali karibu na gossi, mashariki mwa mali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

this seems evident in new footage released by al-shabab featuring three young somali-americans who died while waging war.

스와힐리어

hili linaonekana kuwa bayana katika video mpya iliyotolewa na al-shabab ikiwaonyesha vijana watatu wa ki-somali waliouawa wakati wa vita.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

however, new media were agile enough to cover all the main events giving detailed footage of initial protests in talas, rampage in bishkek and looting that followed.

스와힐리어

hata hivyo, vyombo hivyo vipya vya habari vilikuwa na nguvu ya kutosha kuchukua matukio yote muhimu na kutoa picha za video zilizo kamilifu tangu yalipoanza pale talas, mlipuko wa watu kule bishkek na matukio ya unyang'aji yaliyofuatia vurugu hizo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

although the documentary contains some footage of neves taken by tv news stations, and thus potentially vulnerable to copyright violation claims, the spoof video includes no content of this sort.

스와힐리어

ingawa filamu hiyo ina vipande vya habari za neves zilizochukuliwa kutoka kwenye vituo vya runinga vya habari, vinavyoweza kuyapa nguvu madai ya kukiukwa kwa haki miliki, filamu hizo hazina maudhui ya namna hiyo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

@acarvin: surreal footage on aje now - over a dozen guys throwing rocks, each lit up by a green laser to be target by opposing side

스와힐리어

@acarvin: video ya kusikitisha inaonyeshwa kwenye kituo cha al jazeera hivi sasa -ikiwaanesha jamaa kadhaa wakirusha mawe, kila mmoja akimwulika kwa toshi ya kijani ili kupata shabaha kwa wapinzani wao

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in september 2013, the private television channel nova tv reported and analyzed a similar incident, in which police forced their cameraman to delete footage of police aggression against protesters who were trying to protect a landmark skopje public park from destruction.

스와힐리어

mwezi septemba 2013, kituo cha televisheni cha binfasi nova tv kilitangaza na kuchambua tukio kama hilo, ambapo polizi walimlazimisha mpiga picha wao kufuta kipande cha video kilichokuw akinaonyesha ukatili wa polisi dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanajaribu kulinda eneo la bustani ya wazi inayotambulisha jiji la skopje dhidi ya uharibifu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in another part of the footage, which showed a well-furnished room with a refrigerator, tymoshenko can be heard saying: "i was being kept before in unacceptable conditions and i don't want you to show this false picture now."

스와힐리어

katika sehemu moja ya picha hiyo ya video, ambayo ilionyesha chumba kilicho na samani za maana ikiwa ni pamoja na jokofu, tymoshenko anaweza kusikika akisema: "nilikuwa nimewekwa mahali penye hali mbaya sana, sitaki mwonyeshe picha hizi zinazodanganya kuhusu hali halisi sasa."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,744,174,309 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인