검색어: handling (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

as details of the south korean government's botched handling of the sinking were revealed, anger has grown.

스와힐리어

wakati taarifa zaidi kuhusu uzembe wa serikali ya korea kusini katika kushughulikia ajali hiyo zimepatikana, hasira za wananchi zimeendelea kuongezeka.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

however, our training will include reminders about safe handling of specimens and revision of infection control measures anticipated to be high in our practices.

스와힐리어

hata hivyo, mafunzo yetu yatajumuisha vikumbusho kuhusu kushughulikia sampuli kwa njia salama na kudurusiwa kwa udhibiti wa maambukizi yanaytrajiwa kuwa ya juu katika huduma zetu.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

however, the government did register poor marks on fighting corruption, with 69 percent of respondents thinking that authorities were handling corruption badly or very badly.

스와힐리어

hata hivyo, serikali ilionekana kufanya vibaya kwenye eneo la kupambana na ufisadi, huku asilimia 69 ya waliohojiwa wakifikiri kwamba mamlaka zinazohusika hazikuwa zikishughulikia tatizo la ufisadi inavyotakiwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the recent disclosures have been met with mixed reactions with some netizens supporting the government's actions while others expressly disagreeing with the president in the manner he was handling national affairs.

스와힐리어

habari za kuibuliwa kwa kashfa hii zimepokelewa kwa miitikio mbalimbali kwa (kuwapo) baadhi ya raia watumiao mtandao kuunga mkono hatua hizo za serikali wakati huo huo wengine wakionyesha kutokubaliana na rais kwa namna anavyoshughulikia masuala ya kitaifa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

reality of how mad this place has become smacks you in the face the second you land at the bahrain international airport and see all the ground staff wearing surgical masks, from the ground handling staff to the immigration and customs officers.

스와힐리어

ukweli wa jinsi sehemu hii ilivyogeuka na kuwa ya kiwendawazimu unakupiga usoni sekunde ile unapotua kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa na kuona wafanyakazi wa ardhini wamevaa vitambaa vya kitabibu kufunika pua, kuanzia wahudumu mpaka maofisa wa uhamiaji.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

she affirmed “indonesia’s role in handling global problems, including terrorism, protectionism, climate change and the economic crisis.”

스와힐리어

alitilia mkazo "jukumu la indonesia katika kudhibiti matatizo ya dunia, yanayojumuisha ugaidi, uchumi wa kujihami, mabadiliko ya hali ya hewa(kuongezeka kwa joto) na matatizo ya kiuchumi."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

a number of provincial-level administrators of the communist party of china (cpc) were dismissed over their handling of the quarantine efforts in central china, a sign of discontent with the political establishment's response to the outbreak in those regions.

스와힐리어

baadhi ya wasimamizi katika mkoa wa chama cha kikomunisti ya uchina (cpc) walifutwa kufuatia jinsi walishughulikia juhudi za karantini uchini wa kati, ishara ya kutoridhika na mwitikio wa wanasiasa kwa mkurupuko katika maeneo hayo.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
8,938,835,315 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인