검색어: incidents (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

incidents

스와힐리어

kikosi

마지막 업데이트: 2018-04-23
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

total counterfeit drug incidents by year.

스와힐리어

visa vya dawa bandia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

he brutal incidents cost an enormous loss to humanity indeed.

스와힐리어

matukio ya kikatili yamegharimu idadi kubwa ya watu kwa hakika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

in sum, these incidents have left bloggers concerned that the recent video removals are more than just coincidence.

스와힐리어

kwa ujumla, matukio haya yamewaacha wanablogu katika hali ya wasiwasi kwamba kuondolewa kwa video hizi si tukio la bahati mbaya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

these incidents underscore the urgent need to keep children out of harm’s way in order to ensure their safety.

스와힐리어

matukio haya kusisitiza haja ya haraka ya kuweka watoto nje ya njia ya madhara ili kuhakikisha usalama wao.

마지막 업데이트: 2024-04-11
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

as many pointed out, worldwide reactions have generally been much less noticeable in comparison to recent incidents of similarly large losses of lives.

스와힐리어

kama wengi walivyoonesha, mwitikio wa dunia kwa ujumla umekuwa mdogo kwa kulinganisha na matukio ya watu wengi kupoteza maisha yao kwa wakati mmoja hivi karibuni.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

all of these incidents have taken place as it was revealed that, during the precarious economic conditions and high social tension the country is currently facing,

스와힐리어

matukio yote haya yamefanyika wakati ambao imebainika kwamba, wakati nchi hiyo ikipitia kipindi kizito cha mtikisiko wa kiuchumi pamoja na kukumbwa na matatizo ya kijamii, waziri wa elimu, josefina pimentel, aliongeza mshahara wake mwenyewe kwa asilimia 62 , kutoka rd $ 185,000.00 na kufikia rd $ 300,000.00 kwa mwezi, sawa na dola $ 7,500.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

as of now, there are over 50 incidents among which reports of deaths, including of two children shot at av. acordos de lusaka.

스와힐리어

mpaka sasa, tayari kuna matukio zaidi ya 50 na katika mengine kuna taarifa za vifo , wakiwemo watoto wawili waliopigwa risasi huko katika barabara ya lusaka.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the first recorded incidents of covid-19 infection in bangladesh were on march 8, in two people who returned from italy and also the wife of one of them.

스와힐리어

matukio ya kwanza ya maambukizi ya covid-19 nchini bangladesh yalikuwa tarehe 8 machi, kwa watu wawili ambao walirejea kutoka italia na pia mke wa mmoja wao.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

currently in alpha, the platform will collect data about incidents of censorship on online platforms such as facebook and twitter, with the aim of helping society better understand and manage censorship and free expression issues.

스와힐리어

katika vipau mbele ilivyojiwekea, jukwaa hili litakusanya taarifa kuhusiana na matukio ya udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter, ikiwa na lengo la kuisaidia jamii kuwa na uelewa mpana na namna ya kukabiliana na mambo yanayohusiana na udhibiti wa taarifa na uhuru wa kujieleza.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

@sherif_azer: there were a lot of incidents and statements that have happened over the past period which prepared the scene for the attack on the shia in egypt.

스와힐리어

@sherif_azer: kuna matukio mengi na kauli zilizotokea kipindi fulani kilichopita yaliyokuwa sehemu ya matayarisho ya tukio la kushambuliwa kwa waumini wa shia huko misri.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

eleitor 2010 runs on the open source software ushahidi, a web-based platform which received much attention for its utility in mapping incidents after the haiti earthquake, driven by sms reports from the ground.

스와힐리어

mradi wa eleitor 2010 unatumia programu huria ya ushahidi, jukwaa la kwenye mtandao ambalo liliangaliwa kwa karibu na watu wengi kutokana na ufanisi wake katika upangaji wa taarifa katika ramani baada ya tetemeko la ardhi huko nchini haiti, ambao ulifanikishwa na jumbe fupi za simu za mkononi (sms) kutokea katika maeneo ya tukio.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

fifa fined the croatia football federation 35,000 swiss francs ($38,000) for incidents during its 2-1 loss against belgium in zagreb on october 11.

스와힐리어

fifa ililipiga faini shirikisho la soka la croatia 35,000 faranga ya uswisi ($ 38,000) kwa ajili ya matukio wakati wa kushindwa kwake kwa mabao 2-1 dhidi ya ubelgiji nchini zagreb oktoba 11.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

commenting the incident, blogger abbas braham urged his facebook friends to be cautious and not fall in the trap of extremism (no matter what it is) :

스와힐리어

akizungumzia tukio hilo, mwanablogu abbas braham alitoa wito kwa marafiki wake kwenye mtandao wa facebook kuwa waangalifu na si kuanguka katika mtego uliokithiri (bila kujali ni nini) :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,750,344,675 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인