검색어: laboratory (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

laboratory

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

did you go to the laboratory at the hospital?

스와힐리어

ulienda wen huko

마지막 업데이트: 2021-08-30
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the vaccine candidate is in laboratory research, with human testing planned for july or august 2020.

스와힐리어

mtahiniwa wa chanjo ako katika utafiti wa maabara, na mpango wa kupima mwanadamu umepangwa mwezi wa julai au agosti 2020.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

lymphopenia, deranged liver function tests, and elevated creatine kinase are common laboratory abnormalities of sars.

스와힐리어

kupungua kwa seli za limfositi katika damu, uchunguzi wa utendakazi wa ini lililoharibika, na ongezeko la kinase ya kriatini ni uchunguzi usio wa kawaida wa kimahabara wa sars.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

in the european union, laboratory confirmed cases of covid-19 are reported within 24 hours of identification.

스와힐리어

nchini ulaya, visa vya covid-19 vilivyodhibitishwa na maabra huripotiwa ndani ya saa 24 baada ya kutambuliwa.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

testing for the virus usually consists of a swab inserted through the nose or a throat swab which is analysed in a laboratory for the virus.

스와힐리어

upimaji wa virusi kwa kawaida unajumuisha pamba inayoingizwa puani au koo ambayo inachambuliwa katika maabara ili kuchunguza virusi.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

samples (swabs or serum) collected will be sent via prepaid envelopes addressed to the appropriate phe laboratory for analysis.

스와힐리어

sampuli (swabu au serami) zilizokusanywa zitatumwa kupitia bahasha zinazolipiwa awali zinazotumwa katika mahabara yafaayo ya phe ili kufanyiwa uchanganuzi.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

on 8 february 2020, the laboratory oncogen in romania published a paper on the design of a vaccine with similar technology to the one used for cancer neoantigen vaccination therapy.

스와힐리어

tarehe 8 februari 2020, maabara ya oncogen kuko romania ilichapisha karatasi ya muundo wa chanjo na teknolojia sawa na ile iliyotumika kwa tiba ya chanjo cha neoantigen.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

mouse hepatitis virus (mhv) is a coronavirus that causes an epidemic murine illness with high mortality, especially among colonies of laboratory mice.

스와힐리어

virusi vya homa ya manjano ya kipanya (mhv) ni virusi vya korona ambavyo husababisha magonjwa ya mlipuko kutoka kwa panya na vifo vya juu, haswa kwa utumbo wa panya za maabara.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

high exposure risk jobs include healthcare delivery, support, laboratory, and medical transport workers who are exposed to known or suspected covid-19 patients.

스와힐리어

kazi ambazo zina hatari ya juu zinajumuisha utoaji wa huduma za afya, msaada, maabara, wafanyakazi wa kusafirisha matibabu ambao wamegusana na wagonjwa wanaojulikana au wanaoshukiwa wa covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the wuhan laboratory has been promptly followed by huo-yan labs in shenzhen, tianjin, beijing, and shanghai, in a total of 12 cities across china.

스와힐리어

maabara ya wuhan imefuatwa haraka na maabara ya huo-yan huko shenzhen, tianjin, beijing, na shanghai, katika jumla ya miji 12 kote uchina.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

it includes laboratory research on microorganisms and animals, filing for regulatory status, such as via the fda, for an investigational new drug to initiate clinical trials on humans, and may include the step of obtaining regulatory approval with a new drug application to market the drug.

스와힐리어

unajumuisha utafiti wa maabara kuhusu vijiumbe na wanyama, kuwasilisha hali za kisheria, kama vile kupitia fda, kwa dawa mpya ya uchunguzi ili kuanzisha majaribio ya kimatibabu kwa wanadamu, na unaweza kujumuisha hatua za kupata idhini ya kisheria kwa maombi mapya ya dawa ili kutangaza dawa hiyo.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

laboratories services

스와힐리어

maabara

마지막 업데이트: 2023-07-12
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,779,083,955 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인