검색어: messaging (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

thanks for messaging us. we'll get back to you as soon as we can.

스와힐리어

shukrani kwa ajili ya kutuma ujumbe. tutarudi kwako haraka iwezekanavyo.

마지막 업데이트: 2025-01-10
사용 빈도: 1
품질:

영어

other services the saudi authorities are threatening to block include skype and mobile messaging service whatsapp.

스와힐리어

huduma nyingine ambazo serikali ya saudi arabia inatishia kuzizuia ni pamoja na skype na hduma ya kutumiana ujumbe wa simu za mkono iitwayo whatsapp.

마지막 업데이트: 2023-08-29
사용 빈도: 1
품질:

영어

early testing of this text messaging campaign helped triple the average daily call volume to the national aids helpline in johannesburg.

스와힐리어

majaribio ya kwanza ya kampeni hii inayotumia ujumbe wa simu za viganjani ulisaidia kuongeza wastani mara tatu zaidi ya watu wanaopiga simu kwenye huduma ya simu ya ukimwi mjini johannersburg.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

by shutting down internet and messaging services and blocking websites, congolese authorities are denying citizens their fundamental right to communicate and to receive and impart information

스와힐리어

kwa kuzima mtandao wa intaneti na huduma za ujumbe mfupi wa maandishi na kufunga tovuti, serikali ya kongo inawanyima raia haki zao za msingi za kuwasiliana na kupokea na kusambaza taarifa

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the music messaging plugin allows a number of users to simultaneously work on a piece of music by editing a common score in real-time.

스와힐리어

notify for

마지막 업데이트: 2014-08-15
사용 빈도: 3
품질:

영어

saudi arabia blocked the instant messaging application on june 5, 2013, after it threatened to block encrypted communication software, unless it was allowed to spy on users.

스와힐리어

saudi arabia imezuia huduma ya kutuma ujumbe wa moja kwa moja tangu tarehe 5 juni, 2013, baada ya kutishia kuzuia zana za kimawasiliano, ikiwa isingeruhusiwa kuwapeleleza watumiaji wa huduma hiyo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

sms from the pmaccording to democrat party officer, the text messaging was an idea of abhisit himself, and was coordinated by korn chatikavanij, the country's finance minister.

스와힐리어

ujumbekwa mujibu wa ofisa wa chama cha demokrasia, wazo la kutumia ujumbe mfupi wa maneno lilikuwa ni la abhisit mwenyewe, na lilisimamiwa na korn chatikavanij, ambaye ni waaziri wa fedha.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

a secret us plan to support regime change in cuba with a twitter-like messaging service called zunzuneo has now come under the spotlight with news reports that thousands of cubans were duped into signing up for the service under false pretenses.

스와힐리어

mpango wa siri wa marekani wa kubadili utawala nchini cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na twita iitwayo zunzuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa maelfu ya wa-cuba walidanganyika kujisajili kupata huduma hizo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

here are some online resources that people are using to get in touch with each other: person finder from google facebook page to share info gigazine has an article with screenshots that teach how to use the emergency messaging service that’s been set up by the phone companies.

스와힐리어

zifuatazo ni nyenzo zilizo kwenye mtandao ambazo watu wanazitumia ili kuwasiliana na wenzao: nyenzo ya kusaidia kumtafuta mtu kutoka google ukurasa wa facebook ili kutumiana taarifa gigazine walikuwa na makala ya kijapani yenye picha zinazofundisha namna ya kutumia huduma ya ujumbe mfupi wakati wa dharura ambayo iliwekwa na makampuni ya simu za mkononi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in the state of new york the cases have exceeded 100,000 people on 3 april.the white house has been criticized for downplaying the threat and controlling the messaging by directing health officials and scientists to coordinate public statements and publications related to the virus with the office of vice-president mike pence.

스와힐리어

katika jimbo la new york visa vilikuwa zaidi ya watu 100,000 mnamo 3 aprili.ikulu ya marekani imeshutumiwa kwa kutotilia maanani tishio na kudhibiti ujumbe ya maafisa wa afya na wanasayansi kusimamia taarifa ya umma na machapisho yanayohusiana na virusi na ofisi ya naibu wa rais mike pence.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
9,154,552,578 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인