검색어: mobilization (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

mobilization

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

resource mobilization

스와힐리어

uhamashishaji wa rasilimali

마지막 업데이트: 2023-12-23
사용 빈도: 1
품질:

영어

young man calls for civil mobilization.

스와힐리어

kijana akitoa wito wa kuhamasishaji umma.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

mozambique: citizen mobilization to help flood victims · global voices

스와힐리어

msumbiji: uhamasishaji wa kiraia kuwasaidia waathirika wa mafuriko

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

and when all is said and done, such mobilization is a very welcome change in a budding democracy.

스와힐리어

na yote yakishasemwa na yakaisha, muhamasisho wa aina hii ni mabadiliko yanayohitajika sana kwenye demokrasia inayokua.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

- for the first time protests of this scale did not need the support of mass media for mobilization.

스와힐리어

-kwa mara ya kwanza waandamanaji wa kiwango hiki hawakuhitaji kuungwa mkono na vyombo vya habari vya kale kwa ajili ya uhamasishaji.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

besides khan, a whole slew of bollywood actors and filmmakers have volunteered their time for various election mobilization and awarness programs.

스와힐리어

zaidi ya khan, kundi lote la wacheza filamu na watengeneza filamu wa bollywood wamejitolea muda wao kwenye programu mbalimbali za kuhamasisha na kuelimisha umma.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the legislature passed the first reading on october 25, 2013, but the legislative process was suspended in reaction to a massive mobilization of opponents of same-sex marriage.

스와힐리어

bunge liliupitia muswada huo baada ya kuusoma kwa mara ya kwanza oktoba 23, 2013, lakini mchakato wa kisheria ulisimamishwa baada ya wapinzani wa sheria hiyo kupinga vikali ndoa za jinsia moja.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

blogs and twitter didn't serve as serious means of public mobilization since the internet penetration rate is relatively small in kyrgyzstan ( just 15 percent in 2009).

스와힐리어

blogu na twita hazikutumika kama nyenzo kuu za kuhamasisha umma hasa kwa kuzingatia kwamba intaneti bado ni changa katika nchi ya kirigistani (imefikia asilimia 15 tu mpaka mwaka 2009).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

"eu in crisis" is the first production of our new global voices books project and includes the best material from social conversation, participation and mobilization boosted by citizens going through the tough times of austerity in the old continent and beyond.

스와힐리어

"umoja wa ulaya katika mgogoro (eu in crisis)" ni chapisho letu la kwanza katika mradi wa vitabu wa global voices na ambao unahusisha makala bora zaidi kuhusu mazungumzo ya kijamii, ushiriki na uhamasishaji unaopewa nguvu na raia wanaopitia nyakati ngumu za kubana matumizi katika bara la kale zaidi na kwingineko.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,793,234,212 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인