검색어: nam (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

azadi esteghlal edalat calls iranians to become united with one voice and turn the nam summit into a nightmare for the regime.

스와힐리어

azadi esteghlal edalat anatoa wito kwa raia wa iran ili waungane na kuwa kitu kimoja na kuugeuza mkutano wa nam kuwa wa kuutetemesha utawala wa nchi hiyo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

nam summit created a golden opportunity to protest against the regime's crimes and support the green movement.

스와힐리어

mkutano wa nam umetupatia nafasi ya pekee kabisa maalumu ya kuandamana dhidi ya maovu ya utawala na kuunga mkono vuguvugu la kijani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

iran: tehran's non-declared curfew amid nam summit · global voices

스와힐리어

iran: 'marufuku isiyo rasmi ya kutembea' ya tehran wakati wa mkutano wa nam

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in terms of section 28(1) of the tax administration act nam.7 of 2009, the zanzibar revenue authority (zra) is inviting a joint session between the zanzibar revenue authority (zra) and the leadership of the pan africa development company(paddco). authorities are asking you to reach his office in the northern province of zanzibar district office, on 13/05/2024 at 5:00 am without missing. your arrival is the success of the session.

스와힐리어

kwa mujibu wa kifungu cha 28(1) cha sheria ya usimamizi wa kodi nam.7 ya mwaka 2009.mamlaka ya mapato zanzibar (zra) inatoa mualiko wa kikao cha pamoja baina ya mamlaka ya mapato zanzibar (zra) na uongozi wa pan africa development company(paddco). mamlaka inakuomba kufika katika ofisi yake ya mkoa wa kaskazini unguja ofisi ya kiwengwa , mnamo tarehe 13/05/2024 saa 5:00 asubuhi bila ya kukosa. kufika kwako ndio mafanikio ya kikao hicho.

마지막 업데이트: 2024-05-09
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
8,892,217,378 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인