검색어: parade (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

parade

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

participants in the parade.

스와힐리어

washiriki wakiwa kwenye matembezi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

below are some photos from the parade.

스와힐리어

hapa chini unaweza kuona picha zilizopigwa kwenye maandamano hayo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

first lgbti parade in lesotho · global voices

스와힐리어

gwaride la kwanza la mashoga nchini lesotho

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

leila hall blogs about the first-ever gay parade in lesotho:

스와힐리어

leila hall anablogu kuhusu gwaride la kwanza la mashoga kuwahi fanyika nchini lesotho:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the number of participants was one of the largest that the parade has seen since the first was held in 2003.

스와힐리어

idadi ya washiriki ilikuwa kubwa kabisa kuwahi kuonekana tangu matembezi ya kwanza yafanyike mwaka 2003.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in recent years, it has become the biggest pride parade in asia and attracted many overseas attendees.

스와힐리어

katika miaka hii ya karibuni, matembezi haya yamekuwa makubwa kabisa katika bara la asia na yamevutia hisia za wahudhuriaji wengi kutoka nje ya nchi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

by your lord, we will gather them and the satans, and we shall parade them hobbling on their knees in gehenna:

스와힐리어

basi naapa kwa mola wako mlezi! kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha kuizunguka jahannamu, nao wamepiga magoti!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

at other times, the weather modification office has reduced the rain to ensure clear skies, such as during the national day parade in october or the beijing olympic games.

스와힐리어

katika nyakati nyingine, ofisi ya kurekebisha hali ya hewa imepunguza mvua kuhakikisha anga linakuwa tupu, mfano wakati wa gwaride la siku ya uhuru au wakai wa michezo ya olimpiki.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

about 70,000 people attended taiwan's lgbt pride parade on october 25 to celebrate the diversity of sexual orientation and gender identity and encourage the public to do the same.

스와힐리어

kiasi cha watu 70,000 walihudhuria matembezi ya fahari ya mashoga na wasagaji nchini taiwani mnamo oktoba 25 katika kusherehekea tofauti za hisia za kimapenzi na utambulisho wa kijinsia na kuuhamasisha umma kuiga mfano huo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

however, when sata appeared at a may 1 labour day parade to receive a traditional salute from workers in the land, the appearance was very brief and only accompanied by a one minute address before getting into his motorcade for a three kilometre drive back to the presidential palace, a lot of people were convinced the president was not well.

스와힐리어

hata hivyo, sata mwenyewe alipoonekana hadharani kwneye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mei mosi kupokea heshima kutoka kwa wafanyakazi nchini humo, na kukaa kwa muda mfupi hapo, na kutoa hotuba fupi ya dakika moja kabla ya kuingia kwenye msafara wake kurudi ikulu, watu wengi walianza kuamini kuwa rais si mzima.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the theme of the 2014 parade was ‘walk in queers’ shoes,’ featuring voices from marginalized lgbt communities such as physically disabled people, hiv-positive people and sex workers.

스와힐리어

maudhui ya matembezi ya mwaka 2014 yalikuwa ‘tembea kwa kutumia viatu ya (unaowaona) hawako kawaida,’ yakiakisi sauti za jamii za watu wa mapenzi ya jinsia moja, mashoga, wanaotengwa kama walemavu, watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na makahaba.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,743,262,430 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인