검색어: parameters (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

conditional parameters

스와힐리어

vigezo masharti

마지막 업데이트: 2021-01-15
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

it is the function and obligation of drug development to assess all of these parameters prior to human clinical trials to prove safety and efficacy.

스와힐리어

ni kazi na jukumu la utengenezaji wa dawa kutathmini vigezo hivi vyote kabla ya majaribio ya kimatibabu kwa binadamu ili kudhibitisha usalama na ufanisi.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

president lungu undertook a baseline health parameters routine check-up at maina soko and attended the dentistry at lusaka trust hospital.

스와힐리어

rais lungu alifanyiwa uchunguzi wa kina kwenye hospitali ya maina soko na kisha kuchunguzwa kinywa kwenye hospitali ya lusaka trust.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the global solidarity and european discovery trials of hospitalized people with severe covid-19 infection apply adaptive design to rapidly alter trial parameters as results from the four experimental therapeutic strategies emerge.

스와힐리어

vipimo vya umoja wa kimataifa na ugunduzi wa ulaya wa watu waliolazwa kwa sababu ya maambukizo kali ya covid-19 hutumia muundo unaoweza kubadilika ili kugeuza haraka vigezo vya vipimo huku matokeo kutoka kwa mikakati nne ya majaribio ya matibabu kuibuka.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

estimates of the parameters of the seir model are tractable on large data sets because of parallelizability, and these methods have been implemented in several r libraries; we intend to use the libraries abseir (deposited on github: https://tinyurl.com/vqu35cj) and abctools (https://tinyurl.com/tfjavz4) to estimate epidemic measures on a weekly basis.

스와힐리어

makadirio ya vipashio vya muundo wa seir yanaweza kufuatiliwa katika seti kubwa ya data kwa sababu uwezekano wa kuwekwa sambamba na mbinu hizi zimetekelezwa katika maktaba kadhaa ya r; tunanuia kutumia maktaba ya abseir (iliyo kwenye github:https://tinyurl.com/vqu35cj) na abctools (https://tinyurl.com/tfjavz4) ili kukadiria hatua za janga kwa msingi wa kila wiki.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
8,935,248,897 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인