검색어: pilot (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

pilot

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

in solidarity with the pilot, divided on revenge

스와힐리어

katika kuonesha kushikamana na rubani huyu, kumekuwa na mpasuko katika ulipizaji kisasi

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

randa habib of afp reported its impact on those closest to the pilot:

스와힐리어

randa habib wa afp alitaarifu kuhusu namna ndugu wa karibu wa rubani huyu walivyoipokea taarifa hii:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the serology pilot has demonstrated the ability of the network to collect serology samples in adults.

스와힐리어

jaribio la serolojia limeonyesha uwezo wa mtandao huu kukusanya sampuli za serolojia kwa watu wazima.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

had he willed, he would have made it constant, but we have made the sun its pilot;

스와힐리어

na angeli taka angeli kifanya kikatulia tu. kisha tumelifanya jua kuwa ni kiongozi wake.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

devastated, some relatives fell on the floor after being informed of the execution of pilot moaz kasabeh.

스와힐리어

wakifadhaishwa, baadhi ya ndugu zake walianguka chini mara baada ya kupata taarifa za kuuawa kwa rubani moaz kasabeh.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

@dangeldiva: so is the pilot going to pray before take-off? #dominionair

스와힐리어

@dangeldiva: ndio kusema rubani atalazimika kuomba kabla ya kurusha ndege?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

kharabeesh, a news site based in jordan, released an animated video tribute to the fallen pilot on facebook.

스와힐리어

kharabeesh, mtandao wa habari wa jordan, uliweka katika mtando wa facebook video ya kumbukumbu ya kifo cha rubani huyu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

another press release by the airline identified the pilot as captain zaharie ahmad shah, who has 18,365 flying hours under his belt.

스와힐리어

taarifa nyingine kwa vyombo vya habari iliyotolewa na shirika hilo la ndege limemtambua rubani wa ndege hiyo kuwa ni captain zaharie ahmad shah, ambaye ana masaa 18,365 ya kurusha ndege kwenye mkanda wake.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the pilot and staff who helped maintain the helicopter were charged with the crime, while police rapidly dismissed the possibility of any involvement by the perrella family.

스와힐리어

rubani na wafanyakazi waliohusika na mpango huo walishtakiwa kwa makosa ya jinai, na polisi kufanya jitihada za kuiepusha familia ya perrella na sakata hilo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the video features isis logos, cutaways to an interview with the pilot, news broadcasts on the pilot’s capture and images of war.

스와힐리어

video hii inajumuisha nembo ya isis, sehemu ya mahojiano na rubani huyo, habari za kukamatwa kwa rubani huyu pamoja na picha za vita.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

hast thou not seen how thy lord hath spread the shade - and if he willed he could have made it still - then we have made the sun its pilot;

스와힐리어

huoni jinsi mola wako mlezi anavyo kitandaza kivuli. na angeli taka angeli kifanya kikatulia tu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

capitaine sanogo is the leader of the new national committee for the restoration of democracy and state (cnrdr) who say they will pilot the transition until the elections in april.

스와힐리어

kapteni sanogo ndiye kiongozi wa kamati ya kijeshi ya taifa ya kurejesha demokrasia na nchi (cnrdr) ambao wanasema wataongoza serikali ya mpito mpaka uchaguzi utakapofanyika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

google ideas developed a pilot project with the somali service, africa division of voice of america (voa) to help somalis register their opinions with just a few clicks.

스와힐리어

mradi wa 'google ideas' ulitengeneza mpango wa majaribio kwa kushirikiana na idhaa ya somalia, idaara ya afrika ya sauti ya marekani (voa) kuwasaidia wa-somali kuandikisha maoni yao kwa njia rahisi kwa kubofya mara kadhaa tu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

benoît illassa in cotonou wonders why private investing groups from either niger or cotonou were not selected to pilot such projects. the projected budget is set at 100 billions cfa (about 2 billions usd).

스와힐리어

benoît illassa mjini cotonou anashangaa kwa nini vikundi binafsi vya kuwekeza kutoka aidha niger au cotonou havikuchaguliwa kuelekeza miradi hiyo.bajeti ya makadirio imewekewa kati ya mabilioni 100 za cfa (takribani dola bilioni 2).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

he was ordered to go with the police, had no possibility to collect anything, and was given no explanation for his arrest... ...when rami was put on the plane, his passport was taken from him and given to the pilot who later surrendered it with rami to the police in cairo.

스와힐리어

aliamriwa kuondoka na polisi wale, wala hakupewa fursa ya kuchukua chochote, wala hakuelezwa kwa nini alikuwa akikamatwa ... …pale rami alipopakiwa kwenye ndege, alinyang'anywa pasi yake ya kusafiria ambayo ilikabidhiwa kwa rubani ambaye naye aliikabidhi pamoja na rami kwa polisi kule jiji la kairo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,747,404,234 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인