검색어: preliminary (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

preliminary

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

lukyanivska prison is a facility of preliminary detention.

스와힐리어

gereza la lukyanivska ni taasisi ya kuweka watu kizuizini.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

after three days of voting, the preliminary results are out.

스와힐리어

baada ya siku tatu za upigaji kura, matokeo ya awali yametangazwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

preliminary reports indicate that dozens of bodies are laying on the streets.

스와힐리어

habari za mwanzo zinaashiria kuwa dazeni za miili ilikuwa imenguka mitaani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

some preliminary reactions to the news on the rfi website showed a range of opinion.

스와힐리어

maoni ya mwanzo kufuatia habari hii kwenye tovuti ya rfi yameonyesha mitazamo mbalimbali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the italian pharmaceutical agency reminded the public that the existing evidence in support of the drug is scant and preliminary.

스와힐리어

shirika la dawa la italia liliwakumbusha umma kuwa ushahidi uliopo unaounga mkono dawa hiyo ni adimu na ya awali.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

a preliminary study in china of combined lopinavir and ritonavir found no effect in people hospitalized for covid-19.

스와힐리어

uchunguzi wa kujaribu dawa nchini uchina wa mchanganyiko wa lopinavir na ritonavir, haukupara athari kwa watu waliolazwa hospitalini kwa sababu ya covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

but preliminary election results aired on radio stations indicated that kamanya was faring badly in the poll and was likely to lose his parliamentary seat.

스와힐리어

lakini matokeo ya awali ya uchaguzi huo yaliyotangazwa na kituo cha redio yalionyesha kuwa kamanya alikuwa anafanya vibaya kwenye uchaguzi huo na alikuwa na uwezekano mkubwa wa kupoteza kiti chake chake cha ubunge.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

preliminary analysis indicates that we lost in low-income sectors and didn't gain votes from middle class sectors.

스와힐리어

uchambuzi wa awali unaonyesha kwamba tumepoteza katika sekta za watu wenye kipato kidogo na wala hatukujiongozea kura kutoka katika sekta za tabaka la kati.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the role of these asymptomatic carriers in transmission is not yet fully known; however, preliminary evidence suggests that they may contribute to the spread of the disease.

스와힐리어

jukumu la waenezaji hawa wasioonyesha dalili katika maambukizo bado halijulikani kabisa, hata hivyo, ushahidi wa awali unaonyesha kuwa wanaweza kuchangia kwa usambazaji wa ugonjwa.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

preliminary estimates of the prevalence of selected underlying health conditions among patients with coronavirus disease 2019 — united states, february 12–march 28, 2020

스와힐리어

makadirio ya awali ya maambukizi ya hali teule sugu miongoni mwa wagonjwa wa ugonjwa wa virusi vya korona 2019 — marekani, tarehe 12 februari –28 machi 2020

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

grabar kitarović won in a tight race against incumbent president ivo jospović in the runoff in january 2015, netting 50.74% of the votes, according to preliminary results.

스와힐리어

grabar kitarović alipata ushindi katika mazingira ya upinzani mkali kutoka kwa rais aliyemaliza muda wake, katika duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika january 2015, akijizolea asilimia 50.74 ya kura zote, kwa mujibu wa taarifa za matokeo ya awali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

these preliminary findings suggest that in the united states, persons with underlying health conditions or other recognized risk factors for severe outcomes from respiratory infections appear to be at a higher risk for severe disease from covid-19 than are persons without these conditions.

스와힐리어

matokeo haya ya awali yanapendekeza kwamba nchini marekani, watu walio na hali sugu za afya au vigezo vingine vinayotambuliwa vya hatari kwa ajili ya matokeo mabaya kutokana na maambukizi ya pumu wanaonekana kuwa katika hatari kubwa zaidi ya ugonjwa mbaya kutoka covid-19 kuliko watu bila hali hizi.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

a phase i-ii trial conducts preliminary safety and immunogenicity testing, is typically randomized, placebo-controlled, and at multiple sites, while determining more precise, effective doses.

스와힐리어

jaribio la awamu ya i-ii inaendesha jaribio ya awali ya usalama na imunogenisiti, kikawaida halifuati utaratibu maalum, hudhibitiwa kupitia placebo na katika maeneo anuwai, huku likibaini dozi sahihi zaidi na faafu.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,748,159,207 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인