검색어: primary school program (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

primary school program

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

i graduated from primary school in 2019

스와힐리어

nilihitimu elimu yangu ya chuo mwaka 2019

마지막 업데이트: 2021-09-27
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

i graduated from primary school in 2019.

스와힐리어

sekondary nilisoma kaze hill tabora na kuhitimu mwaka 2010

마지막 업데이트: 2023-06-18
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a 2006 news report found that students of a primary school in darjeeling were deprived of their meals for 18 months.

스와힐리어

kwa mujibu wa taarifa za habari za mwaka 2006, ilionekana kuwa, wanafunzi wa shule za misingi za darjeeling walikabiliana na upungufu wa chakula kwa muda wa miezi 18.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

preferably, the unit for primary school students should not be more than 20 minutes, and no longer than 40 minutes for secondary school students.

스와힐리어

ikiwezekana, kipindi cha wanafunzi wa shule ya msingi haifai kuwa zaidi ya dakika 20, na si zaidi ya dakika 40 kwa wanafunzi wa shule ya upili.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

my name is prezentasio joakim ngonyani i was born 22/10/1998 in ruvuma region songea district i started primary school in 206 adi 2012 ad now

스와힐리어

nilijinga na elimu ya secondary mwaka 2013 adi 2016 nikafaulu kwa alma ya 32 2017 nilijiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) ad sasa

마지막 업데이트: 2021-09-29
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

today more than 95 percent of children have access to a complete primary school education, infant mortality has been reduced by 61 percent, and three-quarters of the population have access to potable water.

스와힐리어

leo zaidi ya asilimia 95 ya watoto wanapata elimu ya msingi bora, vifo vya watoto vimepungua kwa asilimia 61, na robo tatu ya raia wa nchi hiyo wanapata maji safi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the new education system launched by president jakaya kikwete on february 13, 2015, in line with national vision 2025 will also extend basic education from seven years to 11 years, provide free education at primary and education levels and abolish national examinations for primary school levers.

스와힐리어

sera mpya ya elimu iliyozinduliwa na rais jakaya kikwete mnamo februari 13, 2015, inayokwenda sambamba na mpango wa taifa kuelekea 2025 inarefusha elimu za msingi kutoka miaka saba ya sasa mpaka miaka 11, na kuifanya elimu hiyo kuwa bure ikiwa ni pamoja na kuondoa mtihani wa taifa kwa wahitimu wa elimu ya msingi kuingia sekondari.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

an illegitimate girl of primary-school age in zhuhai , south china, was turned away by the local schools, because her mother is not able to afford the hefty fine for illegitimacy, according to sohu blogger han tao’s report .

스와힐리어

binti mdogo 'haramu' wa umri wa kuanza elimu ya msingi huko zhuhai, kusini mwa uchina, alikataliwa kujiunga na shule za eneo hilo kwa sababu tu mama yake hakuweza kulipa faini inayotozwa dhidi ya watoto wanaochukuliwa kuwa haramu, tunapata taarifa hii kutoka kwa mwanablogu wa sohu han tao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

lang's name is aisha haji mdimu is a tanzanian and from the tanga region of lushoto district in the village of mbelei at the age of 14 nlkua seventh grade in primary school number after graduating i graduated and joined form 1 at 15 years old which is 2017 i went ahead and graduated form 4 in 2020 all the years i lived with my parents in tanga region i started to engage in agriculture. vegetables and chicken farming after a while i started to make beer

스와힐리어

jina lang ni aisha haji mdimu ni mtanzania natokea mkoa wa tanga wilaya ya lushoto kijiji cha mbelei katika umri wa miaka 14 nlkua darasa la saba katika shule ya msingi namba baada ya kuhitimu nlifaulu na kujiunga na kidato cha kwanza mbelei sekondari nikiwa na miaka 15 ambapo ni mwaka 2017 nliendelea mbele na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2020 miaka hyo yote niliishi na wazazi wangu mkoani tanga nlianza kujishughulisha na kilimo cha mbogamboga na ufugaji wa kuku baada ya muda nlianza kufany bia

마지막 업데이트: 2023-12-18
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

my name is edimundi arbogast mtaki is the first child born out of four children of the family of the late francis. i was born in 1990 in shinyanga municipality. my primary school education i studied at shinyanga municipality at uhuru primary school from 1996 and graduated from class seven in 2002. in 2003 i started my first form at buluba secondary school in shinyanga municipality and graduated from form four in 2006 and got grade iii: 22. year 20

스와힐리어

kwa majina naitwa edimundi arbogast mtaki ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto wanne wa familia ya marehemu francis. nimezaliwa mwaka 1990 katika manispaa ya shinyanga. elimu yangu ya shule ya msingi nimesomea manispaa ya shinyanga katika shule ya msingi uhuru kuanzia mwaka 1996 na kuhitimu darasa la saba mwaka 2002. mwaka 2003 nilianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari buluba iliyopo manispaa ya shinyanga na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2006 na kupata daraja la iii:22. mwaka 20

마지막 업데이트: 2020-11-16
사용 빈도: 3
품질:

추천인: 익명

영어

curriculum vitae a. personal information first name : akshey middle name : gwassa last name : ngaunje age : 20 yeas sex : male marital status: single religion : islamic nationality : tanzanian date of birth : 14th april 2000 address : p.o box 239 tunduru , ruvuma, tanzania. telphone number : +255 622 321 363 email ; aksheygwassa09@gmail.com b. education and training  2005 – 2007 ruthrani (k.k.k.t) nursery school, tunduru  2008- 2014 muungano primary school, tunduru  2015- 2018 ordinary level education, mgomba secondary school. c. competences on languages mother tongue swahili speaking and writing other language english speaking and writing

스와힐리어

mtaala

마지막 업데이트: 2020-03-11
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,792,875,352 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인